Start by mborrow

MBORROW

Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
13
Reaction score
0
Ndugu zangu ni wpi serikali inatupeleka hasa sisi watoto wa mkulima wa kilimo cha kujikim?
kuna uhalli wowote kwa mwanafunz yeyote aliyeko chuo kikuun tena aliyechaguliwa na tcu
leo hii mwanafunz huyun atengwe naa kubaguliwa kwa kukosa sifa ambazo pia hazijaanishwa
kiutaratibu???????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
kichwa cha uzi kimenitatiza kidogo....
 
Badili kichwa cha habari. Kinaleta shida kidogo.
 
Si mmemuelewa lakini?Changia mada sio mnazungusha maneno hapa,kama ni jina lake sasa afanyaje?
 
Haya ni matokeo ya mtoto wa shangazi kupewa nafasi ya kutunga sera ya elimu wakati mwenyewe ameishia darasa la sita ana certificate ya kupewa kwanini asitengeneze matabaka na kizazi chenye hasira na watawala wao? Ipo siku kitaeleweka tuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…