Area 14
Member
- Jun 17, 2022
- 53
- 354
Nimeangalia hii series ya wenzetu wa KOREA Nimegundua yafuatayo
1. Wenzetu wana wekeza sana kwenye teknolojia na futuristic/ kutafuta solution ya maisha ya baadae na kugundua teknolojiaa mpya .
2. Wenzetu hawaamini sana kwenye DINI bali ethics (maadili) kwao kusema uongo, kuiba, kudanganya na kufisadi ni makosa ambayo hukumu yake inatoka kwenye nafsi yako mwenyewe kabla ya jela au Dini
3. Hakuna biashara kwenye uso wa dunia ambayo kuianzisha kitu muhimu ni mtaji hakuna nasema tena hakuna tunachokosa waafrica ni purpose na passion tunaanzisha biashara tupate hela ndio maana nyingi zinafeli.
4. Kukosolewa ndio msingi wa mafanilio rafiki yangu it is very dangerous to think you are always right
Mwisho kila mtu anayetamani kuwa mjasiriamali namshauri kutafuta hiyo TV series