Star Times hawasomeki, ushindani wa biashara umewabwaga. King'amuzi chao 'NO SIGNAL'. Wadau nishaurini nihamie king'amuzi kipi? Hata wakirekebisha nahama. AZAM vipi?

kwa kweli na mm nimekoma kuanzia leo natupa kipa kilicho chao- kwa anehitaji star time dish na kingamuz chao anitafute nampa vyote kwa bei nusu
mana nimetumia mwezi mmoja tu ndo nimeanza wa pili nshalipia