Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Wiki ya nne sasa chaneli 322, St Kassi Music, haipo hewani.
Waliiondoa kabisa ila nilipowapigia na kulalamika wakairejesha isomeke tu lakini haifanyi kazi.
Jana kifurushi kimeisha, nikatuma pesa kupitia T-pesa bila mafanikio kwa maana upande wa 'Startimes'. Pesa imerejeshwa. Leo nimewasiliana na TTCL wakaniambia mambo ni safi. Nikatuma tena mpaka sasa hakuna jibu upande wa 'Startimes'.
Nikaona isiwe shida, nikawapigia ike ananiuliza jina tu akakata. Nikapiga tena, wakati tunaongea akakata cm huyu ni mwengine.
Napata shida, je kuna ni hapo 'Startimes'?