StarTimes League kumalizika Wikiendi Hii

StarTimes League kumalizika Wikiendi Hii

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
338
Reaction score
180
Ligi Daraja la Kwanza (StarTimes League) inatarajiwa kumalizika wikiendi hii kwa michezo 12 kuchezwa kwa wakati mmoja katika viwanja mbalimbali nchini, huku Kundi A na C zikisaka vinara watakaopnda Ligi Kuu msimu ujao.

Bodi ya Ligi (TPLB) HII HAPA...
 
Back
Top Bottom