Leo kwa mara ya kwanza tumeweza kuona Live game ya BARCELONA NA REAL MADRID kupitia ving'amuzi vya StarTimes
sisi mambo kama haya ndo tunayataka hatutaki kwenda baa!!!
afu nasikia from next seasons UEFA YOTE mmepata RIGHT ZA KUONYESHA afrika nzima!! big up sana, jitahidini sana
pia kumbukeni kuboresha huduma zenu!!!!!
startimes ' the real for tanzanian, tumkomeshe bebari DSTV'

Ukiacha EPL mechi za la liga, serie A, ligi ya Uhalanzi, France n.k zinaonyesha Star Times, ingawa si zote. Kinachokosekana kwenye Star Times ni EPL tu, na Epl yenyewe zinakosekana live lakini za kurekodi zimejaa kibao. Kama utavumilia kutazama mpira huku matokeo unayajua, basi pia nazo zinaonekana.
Startimes sio ya watz. DSTV bado wako juu, endeleeni na vimeo vyenu.
Kweli kukiwa na ushindani hawa DSTV watashusha bei kama walivyokimbizwa mputa na GTV ndio maana leo kidogo watoto wa mjiini kimjini mjini wanaweza weka DSTV ghetto .Kabla ya hapo ilikuwa inaonekana kuweka DSTV ni utajiri wa hali ya juu kwa sababu walikuwa hawana mpinzani wanaweka bei za kinyonyaji.
Mimi with Abudhabi Sports naona mechi zote za mpira na matukio mbalimbali ya michezo duniani live kwa gharama ya dola 109 tu kwa mwaka na zote nazipata kwenye HD.
Star times gani ile? Seriously kwa anaeitaji kingamuzi cha star times anione nimpe bure kabisaaaa
ipo tanzania!! so ya watanzania
Mechi ya ManU na Bolton walionyesha kupitia UBC
Kiongozi hawa ofisi zao ziko wapi?Maneno ni www.adtvnetwork.com/en mkuuu ukinunua decoder yao inakuwa na twin card reader ambayo moja unaweka AD sports na nyingine unaweka Al jazeera Sports TV Schedule in English for Al Jazeera Sports Channels yaani humo kama wewe ni mwana sports utafurahi na nafsi yako.
Kiongozi hawa ofisi zao ziko wapi?
Sasa unashauri vipi mazee kuhusu upatikanaji wa hiyo decoder?Hiyo unanunua dubai hapa ni ghali decoder na subcription kwa hapa inaweza kukucost kwenye $ 700 hizi ni baadhi ya details