Startimes Mnatuchukuliaje?

Labda hakuelewa kiswahili chako au wewe pia hukumuelewa maana mimi hapa imenichukua muda kuelewa
Yule dada anaonekana ni mcharuko maana alikua ananielezea kwa hasira wakati mm hua naongea kiutaratibu
 
Mimi nilioiga simu airtel mdada akawa ananifokea mno.. niliumia sana maana machozi hua karibu sana mtu akinifokea.
Sitarudia kupiga sim tena
unampa makavu dadeki zake,mbona wewe ni dhaifu sana Mkuu
 
Startime mm siwaelew kabisa fox life haipo siku hiz cloud tv haipo series haipo tunanunua vifurushi haviendan na hela yetu kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…