Startimes wapo juu ya sheria..?

Joined
Nov 23, 2013
Posts
79
Reaction score
119
Kwa mujibu wa tcra ving'amuzi vinavyotoa huduma ya channel za ndani Bure ni STARTIMES, Continental...ila cha ajabu STARTIMES chaneli za ndani sio bure kwa wale wenye ving'amuzi vya dishi... ukitaka channel za bure wanasema toa 44000 ili tulinganishe kwenye chaneli za bure..
Hapa ndo sielewi ndo maana nauliza STARTIMES wapo juu ya sheria..?
 
Kwani hata awa wa Azam wanaonyesha bure?....wala hawaonyeshi kifurushi kikiisha wanakata zote hakuna cha nyumbani wala cha ugenini
 
Ndg machuchu ni hv azama, Dstv na zuku zenyewe ni hazitakiwi kurusha channel za bure km ilivyo kwa STARTIMES
Kwani hata awa wa Azam wanaonyesha bure?....wala hawaonyeshi kifurushi kikiisha wanakata zote hakuna cha nyumbani wala cha ugenini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…