astrologist
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 221
- 268
StarTimes wamesema watakuwa live kwenye michuano ya Euro2020,ambayo itaanza tar 11,june 2021 hadi July 11 2021, je, kifurushi cha nyota, Uhuru au Mambo? anayejua anisaidie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinaitwa Smart '21,000/-' kwa wenye Dish, ila waAntenA ni Uhuru '20,000/-'Kuna uzi wao humu JF japo huwa hawajibu chochote ni kama washautelekeza.
Nadhan kwa sisi watumiaji wa king'amuzi cha dishi ukilipia kifurushi cha 21000 ( kimenitoka jina) utaona mechi zote chief.
Ahsante kwa ufafanuziKinaitwa Smart '21,000/-' kwa wenye Dish, ila waAntenA ni Uhuru '20,000/-'
DSTV ndio bingwa wa HDStartimes , DStv na Azam nani ana picha nzuri zaidi? Nataka nichague king'amuzi cha kulipia nifaidi EURO vizuri