StarTimes wataonesha Euro kwa kwa kifurushi kipi?

astrologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
221
Reaction score
268
StarTimes wamesema watakuwa live kwenye michuano ya Euro2020,ambayo itaanza tar 11,june 2021 hadi July 11 2021, je, kifurushi cha nyota, Uhuru au Mambo? anayejua anisaidie.
 
Kuna uzi wao humu JF japo huwa hawajibu chochote ni kama washautelekeza.

Nadhan kwa sisi watumiaji wa king'amuzi cha dishi ukilipia kifurushi cha 21000 ( kimenitoka jina) utaona mechi zote chief.
 
Kuna uzi wao humu JF japo huwa hawajibu chochote ni kama washautelekeza.

Nadhan kwa sisi watumiaji wa king'amuzi cha dishi ukilipia kifurushi cha 21000 ( kimenitoka jina) utaona mechi zote chief.
Kinaitwa Smart '21,000/-' kwa wenye Dish, ila waAntenA ni Uhuru '20,000/-'
 
Startimes , DStv na Azam nani ana picha nzuri zaidi? Nataka nichague king'amuzi cha kulipia nifaidi EURO vizuri
 
Startimes , DStv na Azam nani ana picha nzuri zaidi? Nataka nichague king'amuzi cha kulipia nifaidi EURO vizuri
DSTV ndio bingwa wa HD
Halafu hao wengine wanafuatia....

Dstv kuna channel ya Euro 2021
Kifurushi cha 29000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…