Re: Starting up a business venture
hongera kwa wazo lako zuri ,naomba nikuulize
1. unataka kuwa mchuuzi au mzalishaji?
maana biashara nyingi hapa bongo ni za kichuuzi zaidi, yaani nunua hapa uza pale, huu ni uchuuzi.
2. kama unataka biashara nzuri na ambazo ni sustainable ni za kuongeza thamani.
kwa sasa dunia ina upungufu mkubwa sana wa chakula.
hebu jaribu kufikiria kuhusu activities yoyote ya agroprocessing, then unaweza ukafanya foward intergration au backward intergration
usikurupuke, anza taratibu ili uweze kumudu kumaneje hiyo enteprise yako, pia hakikisha unadifine vizuri business of your enterprise. ahsante.