Startups na Challenges zake

Startups na Challenges zake

Mmmhhh!!!! Mbona kama umeruka stage braza.
Unaanzisha startup halaf unapata hela!! Haiwagi hivyo mzee.Hapo katikat between kuanza na kupata pesa ndio 90% ya uzi wako kiuhalisia unajikita zaid kwa nchi zetu za kiafrika..

Hiyo ulioeleza wewe mbelee huko mtu anaanza then soon investors hawa hapa. Jane Msowoya mpe maneno huyu
 
Hela namaanisha akishapata Grant mfano Funguo wametoa juzi from 50M+ kwa Innovators, sas wengi wakishapata fund kama hizo kwaajili ya kuendeleza startup yake wanazipiga zinaisha chap chap wanarudi tena kuomba nyingine mwisho wa siku zinakufa sio kwamba hazikuwa na solution bali founders walikuwa na tamaa ya hela/Grants.
 
Simply wanakula Hela za Investors, mfano Dash ya Ghana, 54gene ya Nigeria, sendy ya Kenya, Lazerpay ya Nigeria, Zumi ya Kenya, Kune ya Nigeria hizi zote zimezika jumla ya $161M
 
Sijui napataje hizo fund but for me nipate hata 10M tuu!! Nitapiga hatua kubwa sana
 
Hela namaanisha akishapata Grant mfano Funguo wametoa juzi from 50M+ kwa Innovators, sas wengi wakishapata fund kama hizo kwaajili ya kuendeleza startup yake wanazipiga zinaisha chap chap wanarudi tena kuomba nyingine mwisho wa siku zinakufa sio kwamba hazikuwa na solution bali founders walikuwa na tamaa ya hela/Grants.
Sasa blaza si baada ya shida ni raha au Mimi ndo sielewi
Anyway Iko hivi changamoto kubwa Sana ilianzia miaka hiyoooo hivi vichwa vyetu tushajengewa Soma uwe doctor,mara Soma uwe polisisiemu,Soma uwe mwalimu mara Soma that or Soma this hiyo yote swala zima laku turn job seeker into job creator mtu mwanzo lazima aone ni mateso Sasa mara paaap grants hii hapa Mbwaike kaingiza $$$$$ kujisahau lazima maana malengo hayakuwa haya btw Kuna startup ambazo zinafanya vzr sana baada ya grants maisha ya biashara yanapanda sana
 
Simply wanakula Hela za Investors, mfano Dash ya Ghana, 54gene ya Nigeria, sendy ya Kenya, Lazerpay ya Nigeria, Zumi ya Kenya, Kune ya Nigeria hizi zote zimezika jumla ya $161M
Hawa ndo wametuharibia na sisi pesa zipunguzwe kuja Africa
54gene ndo CEO mshahara wake ni $600k kwa mwezi au sio huyo
 
Mmmhhh!!!! Mbona kama umeruka stage braza.
Unaanzisha startup halaf unapata hela!! Haiwagi hivyo mzee.Hapo katikat between kuanza na kupata pesa ndio 90% ya uzi wako kiuhalisia unajikita zaid kwa nchi zetu za kiafrika..

Hiyo ulioeleza wewe mbelee huko mtu anaanza then soon investors hawa hapa. Jane Msowoya mpe maneno huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa anadhani rahisi kuanzisha tu nakupata hela

Nimecheka sana
 
Jaribu halmashauri sijui mkopo wa waziri mkuu something like that ni process kupata lakin naskia hela inatoka
Kweliii? Me mwanafunzi na nawaza kupata startup inayoendana na nachosomea shida ni maeneo mengi wanataka groups na groups daaa changamoto biashara kukua kama navotamani tutoke chuo na our own company . It's sound like a nightmare 😂
 
Hapana..Halmashauri zimejaa ubabaishaji sana sana.acha tu
Kuna mwana namfahamu soon mzigo unaingia 80m

Shida bongo unamjua nani?
Ila humu JF Wana wakiamua kutubeba wanaweza sana na hiyo ela ikatoka within a month
 
Hi,
Anyone drop any challenge ambayo startups za Bongo/ Africa kwa ujumla zinaface.

Mimi ntaanza na Tamaa, startups founders wengi wa Africa wana tamaa akishaanzisha kitu akapata hela tu bas hiyo kitu inaenda kufa, hawana visions za mbali.

NB: sio wote.

mfano jamii forum
 
Back
Top Bottom