MrProsecutor
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 280
- 275
Hela namaanisha akishapata Grant mfano Funguo wametoa juzi from 50M+ kwa Innovators, sas wengi wakishapata fund kama hizo kwaajili ya kuendeleza startup yake wanazipiga zinaisha chap chap wanarudi tena kuomba nyingine mwisho wa siku zinakufa sio kwamba hazikuwa na solution bali founders walikuwa na tamaa ya hela/Grants.Mmmhhh!!!! Mbona kama umeruka stage braza.
Unaanzisha startup halaf unapata hela!! Haiwagi hivyo mzee.Hapo katikat between kuanza na kupata pesa ndio 90% ya uzi wako kiuhalisia unajikita zaid kwa nchi zetu za kiafrika..
Hiyo ulioeleza wewe mbelee huko mtu anaanza then soon investors hawa hapa. Jane Msowoya mpe maneno huyu
Sijui napataje hizo fund but for me nipate hata 10M tuu!! Nitapiga hatua kubwa sanaHela namaanisha akishapata Grant mfano Funguo wametoa juzi from 50M+ kwa Innovators, sas wengi wakishapata fund kama hizo kwaajili ya kuendeleza startup yake wanazipiga zinaisha chap chap wanarudi tena kuomba nyingine mwisho wa siku zinakufa sio kwamba hazikuwa na solution bali founders walikuwa na tamaa ya hela/Grants.
Sasa blaza si baada ya shida ni raha au Mimi ndo sielewiHela namaanisha akishapata Grant mfano Funguo wametoa juzi from 50M+ kwa Innovators, sas wengi wakishapata fund kama hizo kwaajili ya kuendeleza startup yake wanazipiga zinaisha chap chap wanarudi tena kuomba nyingine mwisho wa siku zinakufa sio kwamba hazikuwa na solution bali founders walikuwa na tamaa ya hela/Grants.
Hawa ndo wametuharibia na sisi pesa zipunguzwe kuja AfricaSimply wanakula Hela za Investors, mfano Dash ya Ghana, 54gene ya Nigeria, sendy ya Kenya, Lazerpay ya Nigeria, Zumi ya Kenya, Kune ya Nigeria hizi zote zimezika jumla ya $161M
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa anadhani rahisi kuanzisha tu nakupata helaMmmhhh!!!! Mbona kama umeruka stage braza.
Unaanzisha startup halaf unapata hela!! Haiwagi hivyo mzee.Hapo katikat between kuanza na kupata pesa ndio 90% ya uzi wako kiuhalisia unajikita zaid kwa nchi zetu za kiafrika..
Hiyo ulioeleza wewe mbelee huko mtu anaanza then soon investors hawa hapa. Jane Msowoya mpe maneno huyu
Jaribu halmashauri sijui mkopo wa waziri mkuu something like that ni process kupata lakin naskia hela inatokaSijui napataje hizo fund but for me nipate hata 10M tuu!! Nitapiga hatua kubwa sana
Kweliii? Me mwanafunzi na nawaza kupata startup inayoendana na nachosomea shida ni maeneo mengi wanataka groups na groups daaa changamoto biashara kukua kama navotamani tutoke chuo na our own company . It's sound like a nightmare 😂Jaribu halmashauri sijui mkopo wa waziri mkuu something like that ni process kupata lakin naskia hela inatoka
Hapana..Halmashauri zimejaa ubabaishaji sana sana.acha tuJaribu halmashauri sijui mkopo wa waziri mkuu something like that ni process kupata lakin naskia hela inatoka
Kuna mwana namfahamu soon mzigo unaingia 80mHapana..Halmashauri zimejaa ubabaishaji sana sana.acha tu
ndio ubabaishaji wenyewe huu..Shida bongo unamjua nani?
Ila humu JF Wana wakiamua kutubeba wanaweza sana na hiyo ela ikatoka within a month
Hi,
Anyone drop any challenge ambayo startups za Bongo/ Africa kwa ujumla zinaface.
Mimi ntaanza na Tamaa, startups founders wengi wa Africa wana tamaa akishaanzisha kitu akapata hela tu bas hiyo kitu inaenda kufa, hawana visions za mbali.
NB: sio wote.
Huwezi kukwepa hii Hali tucheze smart tundio ubabaishaji wenyewe huu..
Doh imefanyaje Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfano jamii forum
NAjitahid sana kuzikwepa hiz, i know, i wll manage.Huwezi kukwepa hii Hali tucheze smart tu
Ni duniani kote