Moja ya vituo vichache vilivyo kuwa vina aminika kwa kutokuwa na upendeleo na kuwa na uwazi basi ilikuwa startv na RFA, Lakini weeks hizi za mwisho imekuwa ni kinyume kwani wamekuwa wakitangaza na kuzipa coverage habari za CCM A na CCM B pekee. Kwamfano leo katika kipindi cha magazeti asubuhi wameshindwa kusoma Gazeti la Tanzania daima lililo kuwa na kichwa "Jk ajitundika kitanzi" badala yake wakakatisha na kuweka tangazo. Nakuacha tu kwenye Tv inayo tazamwa na watu wachache sana ,Siku zingine ndio kabisa hariguswi .Sizani kama wanapenda ila ni nguvu waliyo nayo mafisadi kwenye vyombo vya habari nchini.