Kama yupo anayefahamu mambo yatakuwaje...itasomwa kwa mfumo gani au ni uleule wa stashahada za kawaida. Nauliza maana hii ni ya maika mitatu(3) na ada pia imepandishwa mpaka laki 6 kwa mwaka maana nishaona tetesi humu watu wakidai kwamba itasomwa mfumo wa chuo kikuu yaani unajitegemea chakula na mambo mengine yote. Sasa kwa aneyefahamu kuhusu hili naomba atoe taarifa hapa iwe faida pia kwa wale wote waliochaguliwa stashahada ya juu....tafadhali kama hujui pita kimya..ahsante kwa ushirikiano.