State house nchini marekani

Trippier

Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
86
Reaction score
22
kwanini jimbo la washington DC ambapo ndio ipo ikulu ya marekaniii kumetawaliwa na majengo mafupi mafupi ukilinganishaa na miji mingine kama calfornia ,las vergas ambayo nature ya majengo ya maeneo haya ni marefu
 
Buana waswahili na ubesho hawana mwisho duh Washington dc na California....kwanini usituletee mada ya kwanini Dodoma mji mkuu wa Tz hauna stedi ya ma basi wakati aSigida na Moro zina stedi za ma basi zakimatsifa? Unataka kutuaminisha kwamba unajua miji ya Marikani kuliko kwenu Bukoba au Mwanza?
 
Mi nilijua pengine ungeweka wazo lako hapaa kwa uhalisia wa nchi yako ikulu ya Tz imezungwukwa na majengo malefu kwanini ya marekanii mji mzima umetawaliwa na majengo mafupiii...............
 
Mi nilijua pengine ungeweka wazo lako hapaa kwa uhalisia wa nchi yako ikulu ya Tz imezungwukwa na majengo malefu kwanini ya marekanii mji mzima umetawaliwa na majengo mafupiii...............
kwa mawazo yangu mimi nilifikiria ni kwa sababu ya usalama wa raisi majasusi snipers, rada kuweza kudetect mabomu kwa urahisi ambayo yangeweza kurusha kuelekea state house.................ndio mana nikaleta huu uzi hapaa watu waweze kudadavua vizurii kutokana na ufahamu wao
 
Hii ni sheria ya jiji tangu enzi kuwa na limit ya urefu wa majengo na yasizidi hapo
Hiyo sheria ni ya mwaka 1910 na haijabadilishwa nadhani
 
Unaongelea Singida na Moro, hivi umefika Mpanda (kwa Pinda) ukaona bonge la stendi la kisasa?...
 
Umeandika ujinga, ujinga kwelikweli.
 
Wameweka sheria kwamba majengo yote ya Washington DC hayatakiwi kuwa na urefu kuliko mnara wa Washington (Washington monument)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…