State house nchini marekani

Ngoja nione member walioishi na wanaoishi marekani wanavyokuja kutiririka kujibu hili swali,maana hapa jf kila mtu aidha kaishi au anaishi marekani!
 
Ni kwa sababu aridhi ya washington imeongezwa kwenda baharini, sio asili. Hivyo majengo marefu sio salama.
 
kwanini jimbo la washington DC ambapo ndio ipo ikulu ya marekaniii kumetawaliwa na majengo mafupi mafupi ukilinganishaa na miji mingine kama calfornia ,las vergas ambayo nature ya majengo ya maeneo haya ni marefu
Hatuko kiuhasama ki hivyo tunaweza hata kujenga ikulu kwa afisa mtendaji wa kijiji, na tuka share ugali na kachumbali na mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…