kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Ukiona takwimu kama hizi zinazoeleweka zimeanikwa hadharani na jirani zetu, jipige kofi ndugu yangu, bila shaka itakuwa lazima umezama ndani ya ndoto moja bab kubwa.
Kenya haijui 'tuta, wata, ita.. tuta'..
Ndio hii pesa.
Hot off the shelf. Today's Gazette notice.
Tax revenue za karibu Sh1.7 Trillion. Hio ni mara mbili Tanzania, na bado wanasema GDP yao imetukaribia.
Alafu, in this revenue, muangalie kwa makini pesa ngapi ni aid.. Here we don't rely on donations.
Ningependa sana kuona document kama hii kutoka majirani wetu.
View attachment 911792
View attachment 911793
View attachment 911794
Mkikuyu- Akili timamu
, acha utoto, mara sijui Jubilee, wakikuyu sijui wajaluo, hayo ni maneno yako ya kujitungia ya kawaida. Unazeeka na rate kubwa sana mzee.
Economist kalongolongo. [emoji23] Mkikuyu akili punguani ngonja nikupe kumbukumbu ya BoT na overvaluation ya tzshs kwa 17%, miaka michache iliyopita, na bado hela ikabaki tu kuwa ya madafu kama kawa, ndio iwe mzuka zaidi kwako. http://www.thecitizen.co.tz/News/Ta...d--says-IMF/1840340-2894824-oh8m04/index.html Haya basi, turudi sasa kwenye mada ya uzi huu.Hananga la kusema.
Economist mwitu wa dirisha.
Wangewaonyesha IMF true figures za value of kshs hapo ingesaidia.Naona vilaza wanafungua nyuzi za mapovu sababu ya 17.5% [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jipeni moyo, Ama Jubilee inavyo sema IMF ni ya wajaluo wako na chuki tu na wakikuyu
Donations are given only to those who have something to offer. Unaweza patea msichana mbovu pesa??ππππ Kila nchi ingependa kupata grant.πππ Kwa taarifa yako Uwanja wa mpira mpya unaojengwa Dodoma to be 2 largest in Africa na the largest mosque in East Africa ni donation kutoka MorroccoπππKenya haijui 'tuta, wata, ita.. tuta'..
Ndio hii pesa.
Hot off the shelf. Today's Gazette notice.
Tax revenue za karibu Sh1.7 Trillion. Hio ni mara mbili Tanzania, na bado wanasema GDP yao imetukaribia.
Alafu, in this revenue, muangalie kwa makini pesa ngapi ni aid.. Here we don't rely on donations.
Ningependa sana kuona document kama hii kutoka majirani wetu.
View attachment 911792
View attachment 911793
View attachment 911794
The all world knows the Kenyan Bank is BLOCK. Hizo figure zakujifurahisha. Ukweli anaujua Uhuru.Kenya haijui 'tuta, wata, ita.. tuta'..
Ndio hii pesa.
Hot off the shelf. Today's Gazette notice.
Tax revenue za karibu Sh1.7 Trillion. Hio ni mara mbili Tanzania, na bado wanasema GDP yao imetukaribia.
Alafu, in this revenue, muangalie kwa makini pesa ngapi ni aid.. Here we don't rely on donations.
Ningependa sana kuona document kama hii kutoka majirani wetu.
View attachment 911792
View attachment 911793
View attachment 911794
Holy Moses!!! [emoji15]Donations are given only to those who have something to offer.Unaweza patea msichana mbovu pesa??
Sema ukweli baba..IMF ni wajaluo na hawaja tahiri kama wakikuyu..Wacha kufichaficha yalio moyoni..Simama na kabila lako bwanaEconomist kalongolongo. [emoji23] Mkikuyu akili punguani ngonja nikupe kumbukumbu ya BoT na overvaluation ya tzshs kwa 17%, miaka michache iliyopita, na bado hela ikabaki tu kuwa ya madafu kama kawa, ndio iwe mzuka zaidi kwako. http://www.thecitizen.co.tz/News/Ta...d--says-IMF/1840340-2894824-oh8m04/index.html Haya basi, turudi sasa kwenye mada ya uzi huu.
Usiniambukize ujinga, kama umeshindwa kujibu hoja yangu kwenye hiyo comment hapo pita kule.Sema ukweli baba..IMF ni wajaluo na hawaja tahiri kama wakikuyu..Wacha kufichaficha yalio moyoni..Simama na kabila lako bwana
Waite jamaa zako wa huko Turkana waje waone.Kenya haijui 'tuta, wata, ita.. tuta'..
Ndio hii pesa.
Hot off the shelf. Today's Gazette notice.
Tax revenue za karibu Sh1.7 Trillion. Hio ni mara mbili Tanzania, na bado wanasema GDP yao imetukaribia.
Alafu, in this revenue, muangalie kwa makini pesa ngapi ni aid.. Here we don't rely on donations.
Ningependa sana kuona document kama hii kutoka majirani wetu.
View attachment 911792
View attachment 911793
View attachment 911794
Sawa sawa Mwalim..Lakini tafadhali simama na kabila lako usiwe msaliti πUsiniambukize ujinga, kama umeshindwa kujibu hoja yangu kwenye hiyo comment pita kule.