Wana Jf na Watanzania wote walio mstari wa mbele katika harakati mbalimbali za kuiendeleza nchi yetu,poleni na uchovu wa kazi.
Kuna hiki kitu kinaitwa 'Statement of Results' ambacho huwa kinatolewa kama mbadala wa cheti harisi cha matokeo pale inapotakika tena mara moja kwa kila hitaji,hivi ni kwanini NECTA isiwe na utaratibu wa kutoa cheti walau kwa mara ya pili kwa waliopotelewa na vyeti vyao ili kuwapunguzia usumbufu wa hii S.O.R na nenda rudi mbona michosho sana?