STATIONERY BNESS - Wapi naweza pata mzigo?

MJIMPYA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
506
Reaction score
272
Wakuu,
Naitaji kujua hasa kutoka kwa wafanya biashara ndogo ya stationery ni wapi naweza nunua vitu kwa ajili ya stationery yangu ndogo huku mtaani kwetu. Natafuta wauzaji wenye bei nzuri (ndogo).
Niko Dar

Asanteni
 
Ni pm nikupe contact
 
Back
Top Bottom