Wakuu,
Naitaji kujua hasa kutoka kwa wafanya biashara ndogo ya stationery ni wapi naweza nunua vitu kwa ajili ya stationery yangu ndogo huku mtaani kwetu. Natafuta wauzaji wenye bei nzuri (ndogo).
Niko Dar