Afande Nyati JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,385 Reaction score 1,414 Aug 16, 2015 #1 Wakuu, Nina biashara ya stationary kutoa copy na ku print. Kamtaji kangu bado ni ka sungura kadogo ila nahitaji kufika mahali. Naombeni msaada juu ya mbinu za kuboresha ili nami niweze kujivunia cku moja kwamba ni mfanyabiashara mkubwa.
Wakuu, Nina biashara ya stationary kutoa copy na ku print. Kamtaji kangu bado ni ka sungura kadogo ila nahitaji kufika mahali. Naombeni msaada juu ya mbinu za kuboresha ili nami niweze kujivunia cku moja kwamba ni mfanyabiashara mkubwa.
M mwana wa africa JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 548 Reaction score 128 Sep 3, 2015 #2 katika biashara kuna mambo mengi yanayopelekea kukua na kukomaa kwa biashara ila kubwa zaidi ni nidhamu katika biashara, ubunifu na kusoma mahitaji ya soko.
katika biashara kuna mambo mengi yanayopelekea kukua na kukomaa kwa biashara ila kubwa zaidi ni nidhamu katika biashara, ubunifu na kusoma mahitaji ya soko.