Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,952
We jamaa na habari zako za kiingereza tu halafu zote huwa unacopy kwenye magazeti. Si uwe unakuja na hoja zako mwenyewe kama unaweza.
Ubinaadamu kazi Candid scope. Kila kitu mtu afanyacho kinaangaliwa na mtu vile anavyotaka kukiangalia.Akileta hoja zake mwenyewe mtadai alete source yake, na sasa anakuja na source mnamgeuzia kibao copy and pate, mkizazi gani ninyi? Hamueleweke kabisa! Watanzania n'ta maana!
OK - Hydrocarbons found in Zafarani in Tanzania so OIL is here...
OK - Hydrocarbons found in Zafarani in Tanzania so OIL is here...
We jamaa na habari zako za kiingereza tu halafu zote huwa unacopy kwenye magazeti. Si uwe unakuja na hoja zako mwenyewe kama unaweza.
Labda kwanza tuangalie zako kama ni za kiu-great thinker.
1. Slaa msosi shida? : https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/225318-slaa-msosi-shida.html
2. Mwanamke jiamni kwa avatar ya ukweli: https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/209261-mwanamke-najiamini-kwa-avatar-ya-ukweli.html
3. Hivi Steve Kanumba ana ugonjwa wa kuchekacheka au..........?: https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/209148-hivi-steve-kanumba-ana-ugonjwa-wa-kuchekacheka-au.html
4. Kiranga=Nyani Ngabu: Hii mpaka ilikuwa moved.
Ukiangalia zimekaa ki-gossip gossip tuu. Hakuna cha maana. Kama hujui Kingereza, changia kwenye thread za Kiswahili. Kinacho-matter mleta habari ameweka source. Kabla ya kulalamika mkono ya mwingine ni michafu kaoshe ya kwako kwanza.
hivi hiyo kampuni ya production tanzania ltd ni ya nani? serikali au shares zake zinapatikana dse?Haaahaaa! Kuna watu wanasahau hii ni JF. Wanafikiria wako kwenye zile corridor na ofisi walizozizoea. Wanaamini kila kitu ndani ya Taifa hili ni cha kwao tu na watoto wao. Tena wengine hatustahili kuvisikia....
All other exploring companies were unknown and small now we see EXXON MOBILE... hawa wana mitambo ya ajabu within days they found hydrocarbons na huu mtambo ulichimbwa na kuachwa 1995 na kampuni ndogo ...
EXXON MOBILE now found all this within 3 days...
Haaahaaa! Kuna watu wanasahau hii ni JF. Wanafikiria wako kwenye zile corridor na ofisi walizozizoea. Wanaamini kila kitu ndani ya Taifa hili ni cha kwao tu na watoto wao. Tena wengine hatustahili kuvisikia....
hivi hiyo kampuni ya production tanzania ltd ni ya nani? serikali au shares zake zinapatikana dse?
I also wonder who is who in the on going activities in the south. Hata hivyo, something big is about to happen as the sector attracts huge/massive investment.
Hata hivyo, from old stories...Angola kuna kampuni moja ilikuwa inaitwa Devon Oil and Gas ambayo ilikuwa inamilikiwa na Tony Buckingham na Simon Mann. Hawa jamaa walikuwa na stake kwenye oil&gas production za Angola. Mwaka 1993, Unita iliteka karibu visiwa vyote vilivyokuwepo Soyo kiasi kwamba ikatishia kufungwa kwa kampuni hii. Tukumbe Simon Mann alikuwa ni comandoo wa Uingereza(SAS). Baada ya kunyanganywa visima vyao na Unita hawa jamaa walikuja na proposal ya kutumia maaskari wa kukodi kuwasulubu Unita na kurudisha visima vile kwenye serikali ya MPLA.
Vita ile ya mwaka 1993 ambayo ilikuja baada ya Unita kushindwa uchaguzi, ilizaa kampuni ya kitapeli iliyokuwa inaitwa Executive Outcomes ambayo ilihusika sana na maaskari mamluki(Fortune Soldiers) ambao walihusika sana na vita vya hapa na pale kwenye resources zilizopo Africa.
Ninachotaka kusema hapa ni kitui kidogo tu...je tunauhakika kiasi gani haya makampuni yanayokuja kuwekeza kwenye sector ya petroli na gas hayatageuka kama Executive Outcomes ambayo ilihusika sana na migogoro mingi barani Africa?
Kina Simon Mann bado wapo wengi na tutalaaniwa kama tutawaruhusu waweke miguu yao ndani ya nchi yetu hii tukufu.
Kama kuna watu wanakera humu jamvini , wewe ni namba mojo,shame on youWe jamaa na habari zako za kiingereza tu halafu zote huwa unacopy kwenye magazeti. Si uwe unakuja na hoja zako mwenyewe kama unaweza.
Namkumbuka Mann alikuwa ananyea debe kule Malabo Eq. Guinea, ametolewa juzi juzi tu kwa msamaha wa Rais tena baada ya kutubu dhambi zake...wahusika wengine ni mtoto wa Magreth Thatcher...Mark :A S-coffee:
As long as hatuna technology, science and capittal, and at the same time tuko desparate na maendeleo ya watu (nchi) yetu, we will end up katika mikono ya the likes of Exxon Mobil.....and as far as this company is concerned (Exxon), then am referring back to Dr Ghazivinian book: Curse Oil; na madudu ya hii kampuni kwa host countries wanamo piga deal zao...awa jamaa ni wajanja sana (wezi)...ila ndo hivo tena, kwa status quo ya system ilivo debilitate tunabakia kusema: 'tuombe mungu' tu....sad indeed!