Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
50/50 maana yake alutacontinua,my life is not your life or any other else life.-Una Furaha,
-Huzuni
-Amani ya moyo
-Unafurahia maisha
-Umevurugwa kwa sababu ya ugumu wa maisha
-Unateswa/ kufurahia mapenzi
-Madeni
-Magonjwa
-Migogoro nk
-Huna kazi
-Kipato kidogo nk
Kwa upande wangu mimi ni 50/50
Nb kwa wale ambao ni wagonjwa au wanapitia changamoto yoyote kimaisha, Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi warudi katika hali ya kawaida.
View attachment 3320835
Mambo ni mengi mkuu, unatatua changamoto hii inaibuka nyingine, all in all life must move on50/50 maana yake alutacontinua,my life is not your life or any other else.
I seeThe game of life is brutal but still fair
Inategema unaiangalia kutoka juu au chini.-Una Furaha,
-Huzuni
-Amani ya moyo
-Unafurahia maisha
-Umevurugwa kwa sababu ya ugumu wa maisha
-Unateswa/ kufurahia mapenzi
-Madeni
-Magonjwa
-Migogoro nk
-Huna kazi
-Kipato kidogo nk
Kwa upande wangu mimi ni 50/50
Nb kwa wale ambao ni wagonjwa au wanapitia changamoto yoyote kimaisha, Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi warudi katika hali ya kawaida.
View attachment 3320835
Pole sana mkuuKwa nje Nina furaha ila ndani ya moyo ni Moto mkali Sana. Mungu nisaidie
Hongera sana mkuuNina furaha kila mara huzuni
Inakuja ila naichukulia positive tu, kwangu binafsi shida na huzuni ni vitu tu kuniimarisha mimi wa leo nisiwe wa kesho.