Status yako ya maisha kwa sasa inaashiria nini?

Bora unywe sumu kuliko kijiua
 
Inategema unaiangalia kutoka juu au chini.

Albert Einstein alitufundisha Relativism.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒVita ni vita
E=mcΒ²
Mi kwangu furaha tupu aiseee
 
Ila hili suala la kufa mi huwa linanifikirisha sana hasa nikipita makaburin au nikumbuke watu ninaowajua ambao wameshakufa
Hakuna hakuna tatizo ,tena ni salama haupati tabu kabisa.
 
Kwanza bila kuficha..
Nimeona kabisa mkuu wewe ni mfano wa kuigwa kwatika jamii ...
Kama nakosea kusema hvi naomba unisamehe sana mkuu..πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwanza bila kuficha..
Nimeona kabisa mkuu wewe ni mfano wa kuigwa kwatika jamii ...
Kama nakosea kusema hvi naomba unisamehe sana mkuu..πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Jamii hazifanani elezea jamii ipi halafu haujajibu swali ujue...😎
 
WE say Alhamdullilah for anything πŸ™ƒπŸ™ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…