std vii result

std vii result

mbm

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
604
Reaction score
286
wana jf kwanini matokeo ya darasa la saba hayatoki. tangu nimalize shule ya msingi 1994 sijawahi kuyaona matokeo yangu, naelezwa kwa ujumla tu eti hujachaguliwa!!!!!!! nani huyo anayechagua bila kuangalia matokeo??????
tunaona kila siku watu wamechaguliwa kujiunga form 1 lakini ufaulu wao haujulikani.
nchi jirani ya kenya wanatoa matokeo why not tanzania???
 
ndalichako upo. mimi najua siwezi kuyapata tena basi wanangu wauapate yao wale walio maliza 2012
 
utaratibu upi huo
niweke wazi
 
nachoweza kusema ni kua matokeo hutoka,kwa sababu mimi nilipo chaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza nilipo fika shuleni(secondary) nilipewa matokeo yangu yote. so inamaanisha matokeo yapo ila upatikanaji kwa ambap hawakuchaguliwa ni mgumu
 
Aisee me nliambiwaga nimechaguliwa tu ila cjui lolote hata marks zangu sijui..
 
matokeo huwa yanakuwa yapo municipal ambao ndo wanaratibu mambo yote ya shule za msingi.Mimi nakumbuka nilienda municipal nikakuta daftari kubwa lina matokeo ya shule zote za manispaa na pia hata yale ya vijijini yakuwa yako pale ila sijajua kwa utaratibu wa sasa
 
nachoweza kusema ni kua matokeo hutoka,kwa sababu mimi nilipo chaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza nilipo fika shuleni(secondary) nilipewa matokeo yangu yote. so inamaanisha matokeo yapo ila

upatikanaji kwa ambap hawakuchaguliwa ni mgumu

kwa nini wasiochaguliwa wasione matokeo yao??
 
matokeo huwa yanakuwa yapo municipal ambao ndo wanaratibu mambo yote ya shule za msingi.Mimi nakumbuka nilienda municipal nikakuta daftari kubwa lina matokeo ya shule zote za manispaa na pia hata yale ya vijijini

yakuwa yako pale ila sijajua kwa utaratibu wa sasa

kwa nini utaratibu haujulikani, na kwa nini matokeo yasiende shule
 
Back
Top Bottom