nachoweza kusema ni kua matokeo hutoka,kwa sababu mimi nilipo chaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza nilipo fika shuleni(secondary) nilipewa matokeo yangu yote. so inamaanisha matokeo yapo ila
upatikanaji kwa ambap hawakuchaguliwa ni mgumu
matokeo huwa yanakuwa yapo municipal ambao ndo wanaratibu mambo yote ya shule za msingi.Mimi nakumbuka nilienda municipal nikakuta daftari kubwa lina matokeo ya shule zote za manispaa na pia hata yale ya vijijini
yakuwa yako pale ila sijajua kwa utaratibu wa sasa