Habari wandugu. Samahani, naombeni kujua ni steaming gani ni nzuri zaidi kwa mtu mwenye nywele nyepesi ambayo inapatikana kwenye maduka ya Tz? Au kama ni kutengeneza naturally, nitumie vitu gani kupata steming itakayojifaa?
Tengeneza parachichi,kiini cha yai la kienyeji,asali,maziwa fresh,ndizi ya kuiva zinajaa haraka .
Tengeneza parachichi,kiini cha yai la kienyeji,asali,maziwa fresh,ndizi ya kuiva zinajaa haraka .
Tengeneza parachichi,kiini cha yai la kienyeji,asali,maziwa fresh,ndizi ya kuiva zinajaa haraka .
njo nikupe mafuta kijana mzuri.Naombeni msaada jinsi ya kuzifanya nywele zangu ziwe nyeusi na zilizoshiba.
Nimekuwa mtu wa nywele nyepesi na zisizo na afya.
Kama unajua mafuta yeyote ya nywele yanayoweza kubadilisha nywele zangu naomba mnisaidie.
Napenda kuwa na nywele nyeusi, nzuri na za kuvutia.
Asante
matokeo yataonekanakwa mda gani?nazioshwe baada ya mda ganTengeneza parachichi,kiini cha yai la kienyeji,asali,maziwa fresh,ndizi ya kuiva zinajaa haraka .
Ngoja nidese hapa na mimiAu tui la nazi lile zito kabisa.
Unaweka kichwani vizuri upakae kwenye scalp then unavaa kofia ya steaming. Au shower cap for about 40 min to 1 hr. Then unaosha. Hii inasaidia na mba pia.