Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Mwanaharakati Stella Nyanzi aliyefungwa akielezwa kuwa alimtukana Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameachiwa huru huku Jaji akieleza kuwa alifungwa kimakosa
Msemaji wa Magereza, Frank Baine amesema Stella alirudishwa katika gereza alilokuwemo lenye ulinzi mkali kwenda kuchukua vitu vyake baada ya Mahakama kuagiza aachiwe
Nyanzi, ambaye katika ukurasa wake wa Facebook aliwahi kuelezea Rais Museveni kama "jozi ya makalio", Agosti 2019 alihukumiwa miezi 18 baada ya kupatikana na hatia ya udhalilishaji Rais Mtandaoni
Vurugu zilizuka nje ya chumba cha Mahakama wakati wafuasi wake walipojaribu kumlinda kutokana na kile walichoamini kulikuwa na jaribio la kutaka kumkamata tena
Mwanaharakati huyo ambaye pia alikuwa Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Makerere, ana wafuasi waaminifu wanaoamini ametendewa vibaya kutokana na kuikosoa Serikali waziwazi
*****
A Ugandan academic who was imprisoned after insulting the president was freed Thursday by a judge who said she had been wrongfully convicted.
Frank Baine, a spokesman for the prisons service, said Stella Nyanzi was driven back to the maximum-security prison to collect her belongings after the high court ordered her release.
Chaotic scenes erupted outside the courtroom as her supporters tried to protect her from what they believed was an attempt to re-arrest her. Authorities in the East African nation sometimes re-arrest freed suspects by asserting fresh charges.
Nyanzi, who in a Facebook post once described Uganda’s longtime President Yoweri Museveni as “a pair of buttocks,” was sentenced to 18 months in August after being found guilty of cyber harassment.
The former academic fellow at Makerere University attracted the attention of authorities with bold, often profane descriptions of alleged shortcomings of the Ugandan government, including for its failure to honor a pledge to provide free sanitary pads to schoolgirls.
Amnesty International and several Ugandan rights groups had called for Nyanzi’s unconditional release. She has a loyal following among some Ugandans who believe she has been unfairly treated for openly criticizing the government.