TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
Stempu za Kodi za KIeletroniki (ETS) zashuka bei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdau hizi ni wale wanaoagiza au tengeneza bidhaa kama pombe na sigara ,juice,maji na filamu sasa mtaani zije stempu kufanyaje? Hawa watengenezaji wa bidhaa hizo au waagizaji toka nje ndiyo naona haswa wanazifahamu ukienda kwa Bakresa au TBL wao watakuwa wanatumia hizi.siunaona zinaitwa za kieletroniki.Duuh kumbe zimeanza 24th January. Huku mtaani kwetu bado hazijafika