Mdau hizi ni wale wanaoagiza au tengeneza bidhaa kama pombe na sigara ,juice,maji na filamu sasa mtaani zije stempu kufanyaje? Hawa watengenezaji wa bidhaa hizo au waagizaji toka nje ndiyo naona haswa wanazifahamu ukienda kwa Bakresa au TBL wao watakuwa wanatumia hizi.siunaona zinaitwa za kieletroniki.