stend united yapokewa na viongozi wa simba

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
5,286
Reaction score
5,421
kuna taarifa kua wamchangani wameamua kuipokea timu ya stend na kuihudumia kwa muda wote watakapokua dar es salaam,wakizungumza na redio free mashabiki wa stend wamelalamikia kitendo hicho ambacho wanahisi ni mpango wa mikia kuhakikisha wanapata point tatu.

maoni
tff fuatilieani ishu hii kama ni kweli hatua kali zichukuliwe ikiwezekana kuifuta timu inayoitwa simba
 
Acha porojo zake
 
Simba S.C siku zote tu wakarimu sana kwa wageni wetu.
 
Uzuri ni kuwa azam wapo live, mechi iliyouzwa inajulikana tuuu
 
kwa hiyo mkuu mnategemea kulipwa ng'ombe(point3) kwa huo ukarim wenu kutoka kwa stand utd

Mkuu ukiacha Simba, Yanga, Azam.. Timu yenye udhamini mnono inayofuata ni Chama la Wana, Stand United.. Sidhani kama tuna ubavu wa kuwahonga.
Sisi tunaenda kushinda uwanjani, na si vinginevyo.
 
Mkuu ukiacha Simba, Yanga, Azam.. Timu yenye udhamini mnono inayofuata ni Chama la Wana, Stand United.. Sidhani kama tuna ubavu wa kuwahonga.
Sisi tunaenda kushinda uwanjani, na si vinginevyo.

ukarimu hulipwa ukarimu,hongeren
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…