marehem x
JF-Expert Member
- Dec 28, 2022
- 513
- 792
Jamani ifike wakati kuwe na mapaparazi wa maeneo nyeti yenye matukio na mazingira hatarishi. Stend ya daladala ilengwe itajwe kama eneo sensitive.
Kuna msongamano mkubwa sana wa binadam. Na vyakula mbogana vitoweo vikiuzwa eneo hili ni hatari sana na magonjwa ni rahisi sana kusambazwa jiji zima la DSM.
Stend hizi za mbezi lois, stend ya gari za segerea,temeke na gongolamboto na magufuli bus terminal si eneo la kulichukulia kawaida.
Mamlaka zifanye kitu hapa.
1. Ziweke watu wa afya
2. Ziweke wanausalama.(traffic kona zote)
3. Ziweke watu uchukuzi.
4. Ziweke watu wa TISS(specific)
5. Usalama wa Raia police pande zote
6 ziweke watu wa mazingira
Soma zaidi DOKEZO - Stendi ya Daladala Mbezi iangaliwe kwa jicho pana
www.jamiiforums.com

Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ni chafu sana, Mbunge wetu hawezi kujua hilo ana mambo mengi
Jana nilifuatilia mjadala ulioanzishwa na JF kuhusu maoni ya sisi Wananchi wa kawaida kwenda kwa viongozi wetu hasa Wabunge, kwanza niwapaongeze sana kwa hicho walichokifanya na ninawashauri wakiendeleza kwa kuwa kero zipo nyingi. Binafsi naamini wanasiasa ni watu wanaofuata upepo, kuna muda...
DOKEZO - Stendi ya Daladala Mbezi iangaliwe kwa jicho pana
Stend imekaa mkao mzuri tatizo kubwa ni management na administration ya stendi. Kwa ufupi stend inamzunguluko mkubwa sana wa binadam naweza kusema movement ni 1000 men and women per minute. Kwa wale ambao tulikuwa na maskani sana pale mtaa wa Kongo Kariakoo. Hapa Mbezi stend speed ni kubwa...