Bado natafuta
Senior Member
- Oct 3, 2021
- 126
- 138
Haya habari mwana JF.
Najua kuna stendi nyingi za mabasi nchini Tanzania na nyingi mno zina changamoto zake. Changamoto nyingi NI hawa vijana wapokea abiria kwa ajili ya kwenda kuwaonesha ofisi husika. Vijana hawa bila Shaka wanatambulika stendi Zote. Huku mtaani tunawaita wapiga Debe na tunaiheshimu KAZI Yao.
Huko miaka ya nyuma hawa vijana walikua hawana tabia hizi za ajabu zilizokithili. Tabia ya wizi utapeli wa waziwazi mno.
Juzi madogo pale stendi walikwenda kupanda bus kwa ajili ya kuelekea mkoa furani. Wakafika na kupokelewa na hawa vijana tunaowaita wapigadebe.
Baada ya kupokelewa wale vijana wakafanyiwa utapeli wa kiwango cha reli. Watapeliwa kiasi cha shilingi 10,000 kwa kununua mifuko et ya kuwekea mabegi Yao(mifuko ya nailoni dogo alipowauliza NI mifuko ya nini wakasema kwamba sasa hivi hupandi bus bila hii mifuko wakaambiwa ni shilingi 6k.
Basi dogo kwa kuzubaa akatoa 10k akarudishiwa chenji). Lakini pia wakati dogo anapanda bus nilishuhudia mama akilia eti kijana aliyempokea begi hamuoni na begi halijurikani limewekwa wapi, mara kidogo begi likakutwa kwenye uchochoro daaaaaaah inasikisha sana. Loooooh salale tuludi kwa dogo baada ya kufika umbali furani dogo akachukua Ile chenji achukue ata soda Kuangalia sio pesa za Tanzania daaaaaaah unaona hiyo.
Hii ni ndani ya one day kwa masaa machache tuh. Je vipi kwa siku nzima? Je stendi haina uongozi? Je hawaijui hii Hali? Nini kifanyike?