shabhibhii nafwa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 300
- 148
Kesho jumamosi kuna mechi mbalimbali za vpl Tanzania bara. Lakini kilichonisukuma kuandika haya ni taarifa niliyopenyezewa na mtu wangu wa karibu kutoka Shinyanga kutokana na maneno yaliyozagaa. Issue yenyewe ni mpambano wa Stend untd vs Kagera fc.
Katika mpambano huo viongozi wa tff mkoa wa shinyanga wanahujumu mechi hiyo kwamba kagera apoteze ili aendelee kutumia uwanja wa ccm kambarage. Nimeambiwa kuwa wanatumia nguvu kubwa kuwashawishi kagera wawaachie mchezo.
Ombi langu kwa tff na jamari malinzi kuliangalia gemu hili kwa upana zaidi kwa maana hatupendi upangaji wa matokeo.