shabhibhii nafwa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 300
- 148
Ndugu yangu ukiruhusu kichwa chako kidili na tetesi utakufa na kisukari na pia utagombana na mkeo kwa maneno ya mtaani get busy sirious..kijadili tetesi za kijinga ka hizi ni kupoteza muda karatasi na mb
Mkuu hawezi kukaa humu kujadili vitu ambavyo upenyezewa na rafiki yako.
Juzi kati walimshinda simba kwaiyo ata hapo walipanga matokeo? Jaribu kuchambua habari unazopewa na ndugu zako kabla ujazileta humu.
Ili watumie uwanja Wa kambarage kagera wanatakiwa wafungwe?wasipofungwa hawatatumia uwanja huo?unajua SBB za wao kutumia uwanja huo?so kagera akishinda atafukuzwa kutumia uwanja huo?Kesho jumamosi kuna mechi mbalimbali za vpl Tanzania bara. Lakini kilichonisukuma kuandika haya ni taarifa niliyopenyezewa na mtu wangu wa karibu kutoka Shinyanga kutokana na maneno yaliyozagaa. Issue yenyewe ni mpambano wa Stend untd vs Kagera fc.
Katika mpambano huo viongozi wa tff mkoa wa shinyanga wanahujumu mechi hiyo kwamba kagera apoteze ili aendelee kutumia uwanja wa ccm kambarage. Nimeambiwa kuwa wanatumia nguvu kubwa kuwashawishi kagera wawaachie mchezo.
Ombi langu kwa tff na jamari malinzi kuliangalia gemu hili kwa upana zaidi kwa maana hatupendi upangaji wa matokeo.
lakini kama umesoma bandiko natoa tahadhari kwa tff na malinzi. ss wote ni wadau tunajenga soka la tz mkuu usipuuze taarifa hizi
Ili watumie uwanja Wa kambarage kagera wanatakiwa wafungwe?wasipofungwa hawatatumia uwanja huo?unajua SBB za wao kutumia uwanja huo?so kagera akishinda atafukuzwa kutumia uwanja huo?
Wewe lazima utakuwa team mikia mirefu fc, manake mnaogopa stand ikishinda kesho mtashushwa hadi nafasi yenu ya 8 na 9.Kesho jumamosi kuna mechi mbalimbali za vpl Tanzania bara. Lakini kilichonisukuma kuandika haya ni taarifa niliyopenyezewa na mtu wangu wa karibu kutoka Shinyanga kutokana na maneno yaliyozagaa. Issue yenyewe ni mpambano wa Stend untd vs Kagera fc.
Katika mpambano huo viongozi wa tff mkoa wa shinyanga wanahujumu mechi hiyo kwamba kagera apoteze ili aendelee kutumia uwanja wa ccm kambarage. Nimeambiwa kuwa wanatumia nguvu kubwa kuwashawishi kagera wawaachie mchezo.
Ombi langu kwa tff na jamari malinzi kuliangalia gemu hili kwa upana zaidi kwa maana hatupendi upangaji wa matokeo.