KERO Stendi ya Boma Ng'ombe Inahitaji Maboresho

KERO Stendi ya Boma Ng'ombe Inahitaji Maboresho

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Hii ni stendi iliyopo katika Wilaya ya HAI mkoani Kilimanjaro, mahala panapojulikana kwa jina la Boma Ng'ombe, Stendi hii inamashimo shimo ambayo sio rafiki kwa watumiaji wa stendi hii.

Pia stendi hii ni chafu, imezagaa taka za vifungashio vya Chakula na Bidhaa mbalimbali.

Mamlaka ichukue hatua juu ya stendi hii ni aibu, kwa watalii wanaoenda Chemsha Hot Spring ya Boma

IMG_20240201_163019_982.jpg


Pia soma: Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma kutokana na ubovu wa Stendi ya Bomang'ombe
 
Back
Top Bottom