KERO Stendi ya Buzuruga yageuka dampo la uchafu

KERO Stendi ya Buzuruga yageuka dampo la uchafu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
Baada ya stendi ya Buzuruga Mwanza kuhamishwa Na kuelekezwa Maeneo ya Nyamhongoro jijini Mwanza stendi hiyo ilibaki kama matumizi ya magari madogo bajaji pamoja na Dala dala katika jiji hilo

Lakini kwa sasa hali imeanza kubadilika kwa Baadhi ya wafanya Biashara kugeuza maeneo ya katikati ya stendi kuwa kama Jalala Ambapo uchafu hutupwa katika Mwa stendi hiyo ambayo kwa sasa matumizi yake yamepungua kwa Kiasi kikubwa

Tunaomba Mamlaka za serikali kuchukua hatua na kutoa muongozo juu ya wale wano fanya vitendo ambavyo havioneshi Kuto thamini Maeneo ya serikali .

Pia Tunomba serikali kutoa utaratibu maalaum Ambao utawezesha wafanyabiashara kutupa taka katika maeneo sahihi

Pia Wameliki wa biashara kupewa Elimu juu ya utunzaji bora wa mali za serikali

IMG_9289.CR2.jpg
 
Back
Top Bottom