Stendi ya Kibo Complex kijengwe kituo kidogo cha Polisi kutulinda wasafiri wa Kaskazini na Bus zote zifunge Camera

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Stand ya Kibo Complex Tegeta imekuwa kubwa na kuna Wakati unakuta mabasi Zaidi ya 10 yanapakia Abiria hasa safari za Usiku Tanga, Moshi na Arusha

Ni vema kikajengwa kituo kidogo Cha Polisi

Nawasilisha!
 
Kibaha je ? Wakitkutaka popote wanakudabuaa.......kosa ile TISS Act....museeee
 
Suluhisho ni kufumua jeshi la polisi.polisi ni mlinzi wa raia na Mali zake lakini inakuwaje utekaji wa watu unatokea Kila siku.
 
Back
Top Bottom