J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 12, 2024 #1 Stand ya Kibo Complex Tegeta imekuwa kubwa na kuna Wakati unakuta mabasi Zaidi ya 10 yanapakia Abiria hasa safari za Usiku Tanga, Moshi na Arusha Ni vema kikajengwa kituo kidogo Cha Polisi Nawasilisha!
Stand ya Kibo Complex Tegeta imekuwa kubwa na kuna Wakati unakuta mabasi Zaidi ya 10 yanapakia Abiria hasa safari za Usiku Tanga, Moshi na Arusha Ni vema kikajengwa kituo kidogo Cha Polisi Nawasilisha!
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Sep 12, 2024 #2 Hao abood wanajua namna ya kusoma hizo camera?
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Sep 12, 2024 #3 johnthebaptist said: Stand ya Kibo Complex Tegeta imekuwa kubwa na kuna Wakati unakuta mabasi Zaidi ya 10 yanapakia Abiria hasa safari za Usiku Tanga, Moshi na Arusha Ni vema kikajengwa kituo kidogo Cha Polisi Nawasilisha! Click to expand... Kibaha je ? Wakitkutaka popote wanakudabuaa.......kosa ile TISS Act....museeee
johnthebaptist said: Stand ya Kibo Complex Tegeta imekuwa kubwa na kuna Wakati unakuta mabasi Zaidi ya 10 yanapakia Abiria hasa safari za Usiku Tanga, Moshi na Arusha Ni vema kikajengwa kituo kidogo Cha Polisi Nawasilisha! Click to expand... Kibaha je ? Wakitkutaka popote wanakudabuaa.......kosa ile TISS Act....museeee
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Sep 12, 2024 #4 Hofu,hofu ni ugonjwa!
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 12, 2024 Thread starter #5 Faana said: Hao abood wanajua namna ya kusoma hizo camera? Click to expand... Kuna siku nilikuwa namuita konda mara kwa mara nikapata Simu kutoka Shekilango wakihoji Nina shida gani isiyotatulika ππ Jamaa wako vizuri sana π
Faana said: Hao abood wanajua namna ya kusoma hizo camera? Click to expand... Kuna siku nilikuwa namuita konda mara kwa mara nikapata Simu kutoka Shekilango wakihoji Nina shida gani isiyotatulika ππ Jamaa wako vizuri sana π
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 12, 2024 #6 Mbona wanaotekwa ni Viongozi na Wanachama wa CHADEMA?!
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 12, 2024 Thread starter #7 imhotep said: Mbona wanaotekwa ni Viongozi na Wanachama wa CHADEMA?! Click to expand... Unadhani tatizo liko ndani ya Chadema?
imhotep said: Mbona wanaotekwa ni Viongozi na Wanachama wa CHADEMA?! Click to expand... Unadhani tatizo liko ndani ya Chadema?
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 3,447 Reaction score 8,896 Sep 12, 2024 #8 Suluhisho ni kufumua jeshi la polisi.polisi ni mlinzi wa raia na Mali zake lakini inakuwaje utekaji wa watu unatokea Kila siku.
Suluhisho ni kufumua jeshi la polisi.polisi ni mlinzi wa raia na Mali zake lakini inakuwaje utekaji wa watu unatokea Kila siku.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Sep 12, 2024 #9 johnthebaptist said: Unadhani tatizo liko ndani ya Chadema? Click to expand... Tatizo ni Totalitarian Regime ya CCM.
johnthebaptist said: Unadhani tatizo liko ndani ya Chadema? Click to expand... Tatizo ni Totalitarian Regime ya CCM.