Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,037
- 767
Wana JF nimeshaandaa PDF kwa ajili ya wale wanaohitaji kuweka OSX Leopard kwenye PC zao.
Napendekeza kwanza uijue mashine yako kama ni SSE2/SSE3 au AMD ili kuweza kuweka OSX Snow LEopard
Download CPUZ hapa kwa ajili ya kujua kama ndio au la!
Kisha download PDF ya jinsi ya Kuinstall OSX Leopard ambayo nimeiattach hapa
Kila la kheri, nipo kwa ajili ya kusaidia wengine kwenye teknolojia
Password to open pdf: kimokole
Nawakilisha!!!!!,
Tanganyika - My Origin
password ya pdf kaka
Mkuu powa lakini naomba unipe somo zaidi la hii OS ina faida gani au inaweza kunisadia kwenye kazi gani hasa.
Loooking foward to Learn
Faida ni nyingi Mtazamaji, kama ushawahi kuitumia utakuwa unajua kama hujawahi basi angalau kidogo nikumegee,
kwanza iko fasta sana, pili unaweza kurun task zaidi ya moja bila mashine kufreez, tatu kama ikitokea program moja imestack ingawa ni mara chache unaweza kuifunga hiyo program iliyostack na kuifungua upya bila kuathiri mwenendo wa program nyingine, nne haishambuliwi na virus,tano ina software nyingi tu zinazotumika kwenye PC's yaani ziko nyingi faida zake ukiacha appearance nzuri ya OS yake
Anyway nitajaribu nicheki na kujifunza . Nilidhani ina faida fulani za kipekee kama ilivyo Linux.
Aksante sana
Anyway nitajaribu nicheki na kujifunza . Nilidhani ina faida fulani za kipekee kama ilivyo Linux.
Aksante sana
Kuna baadhi ya vitu kama kwenye networking ukitaka kijifunza au kuvijua kwa detail zaidi basi inabidi uwe na OS za linux kama ubuntu.kwani Linux ikoje?
Wana JF nimeshaandaa PDF kwa ajili ya wale wanaohitaji kuweka OSX Leopard kwenye PC zao.
Napendekeza kwanza uijue mashine yako kama ni SSE2/SSE3 au AMD ili kuweza kuweka OSX Snow LEopard
Download CPUZ hapa kwa ajili ya kujua kama ndio au la!
Kisha download PDF ya jinsi ya Kuinstall OSX Leopard ambayo nimeiattach hapa
Kila la kheri, nipo kwa ajili ya kusaidia wengine kwenye teknolojia
Password to open pdf: kimokole
Nawakilisha!!!!!,
Tanganyika - My Origin
Wana JF nimeshaandaa PDF kwa ajili ya wale wanaohitaji kuweka OSX Leopard kwenye PC zao.
Napendekeza kwanza uijue mashine yako kama ni SSE2/SSE3 au AMD ili kuweza kuweka OSX Snow LEopard
Download CPUZ hapa kwa ajili ya kujua kama ndio au la!
Kisha download PDF ya jinsi ya Kuinstall OSX Leopard ambayo nimeiattach hapa
Kila la kheri, nipo kwa ajili ya kusaidia wengine kwenye teknolojia
Password to open pdf: kimokole
Nawakilisha!!!!!,
Tanganyika - My Origin
Mkuu Kimakole Maelezo ya Computer yangu ni haya hapa na nanitajaribu kuweka Picha ya bios Setup ujaribu kunielewesha vizuri
Biostar P4M900-M7 FE
Biostar P4M900-M7 FE Socket 775 Micro ATX Biostar Motherboard -Retail
Specification Biostar P4M900-M7 FE
Model P4M900-M7 FE Socket Socket 775 Motherboards CPU Intel Socket LGA 775
Supports Intel Core 2 Duo/Pentium D/Pentium 4/Celeron D Processor Chipset VIA P4M900 + VT8237A Memory Support to Single Channel DDR2
Support DDR2 400/533/667 Mhz
2 DIMM sockets Maximum memory capacity is 4GB FSB 1066/800/533MHz Expansion Slots 1 x PCI-Express x 16 Slot
1 x PCI-Express x 1 Slot
2 x PCI Slot SATA RAID 0,1 On Board Video VIA Chrome9 HC IGP Audio Realtek ALC861VD 6-Channel HD Audio Hardware Monitor CPU Fan Speed
CPU Voltage
DIMM Voltage
CPU Temperature IDE 2 x EIDE channels (up to 4 devices)
Ultra DMA 33/66/100/133 Bus Master Modes LAN Realtek RTL8201CL PHY-Integrated 10/100 Transceiver I/O 1 x PS/2 Mouse, 1x PS/2 Keyboard Port
1 x VGA Port
1 x Serial Port
8 x USB 2.0 Ports (4 x Rear USB 2.0 , 4 x Front USB 2.0 )
3 x Audio Ports
1 x RJ-45 LAN Jack
1 x Floppy
1 x IDE
2 x SATA
1 x S/PDIF Out
1 x CD-in
1 x System Fan
1 x CPU Fan
1 x Front Audio Header Accessories 1 x User Manual
1 x HDD Cable
1 x FDD Cable
1 x SATA Cable
1 x Real I/O Panel for Micro ATX Case
1 x Fully Setup Driver Form Factor Micro ATX Motherboard Form Factor
Dimension: 19 cm X 24.4 cm ( W x L ) Warranty Biostar P4M900 MICRO 775
15 Day Motherboard Pro DOA Warranty
1 Year Biostar Warranty
Motherboard Warranty Information
Biostar P4M900-M7 FE Website BioStar Motherboard
Features: Biostar P4M900-M7 FE
- VIA P4M900 + VT8237A
- Supports Socket LGA 775 Intel Core 2 Duo/Pentium D/Pentium 4/Celeron D Processor
- DDR2
- 2 240-pin DDRII DIMM sockets max 4GB
- 1 x PCI-Express x 16 Slot
- 1 x PCI-Express x 1 Slot
- 2 x PCI Slot
- Micro ATX Motherboard
- P4M900-M7 FE
Upgrade Your motherboard With this Biostar P4M900-M7 FE Socket 775 Micro ATX Intel Motherboard -Retail
If the Biostar P4M900-M7 FE motherboard will not work for your needs we have more Biostar motherboards. Biostar P4M900-M7 FE LGA 775 Micro ATX board, VIA P4M900 + VT8237A Chipset, Supports Intel Core 2 Duo/Pentium D/Pentium 4/Celeron D/Celeron 400 Series Processor, Vista, DDR2 667, PCI Express, SATA, with 6ch HD Audio & LAN.
- BioStar P4M900-M7 FE Micro ATX Motherboard
- Socket LGA 775
- Supports Intel Core 2 Duo/Pentium D/Pentium 4/Celeron D/Celeron 400 Series Processor
- Supports FSB 533/800/1066MHz
- Support Intel Hyper-Threading Technology
This Biostar P4M800-M7A motherboard supports Intel Pentium 4 and Celeron D socket 775 processors, 800 MHz Front Side Bus, and Intel Hyper-Threading technology.
Ukitaka kuangalia zaidi kuhusu Mother board yangu bonyeza hapa BIOSTAR :: P4M900-M7 FE :: Specification kisha utaniambia namna ya kubadilisha hiyo Bios ili iweze kufanya kazi hiyo Leopard OSX Asante
Tatizo sio ku install sijafika huko kwanza ninazo Hard Disk 2 moja ya Windows 7 na ya pili ipo tupu hiyo kwanza ninataka ku Formart kutoka NTFS kwenda FAT32 Dafault, Sasa nilichotaka kujuwa kuhusu namna gani ya ku Setup Bios yangu kwa sababu maelezo ya Bios yako yapo tofauti na ya kwangu kwani mie kwenye Motherboard yangu ninatumia Sata na ide nilitaka kujuwa nibadilishe vipi Bios kama ulivyoeleza wewe kwenye Detail zako na picha zako kwenye ile Attach yako hebu nifahamishe namna ya kubadilisha hiyo Bios yangu asanteKwa mujibu wa Motherboard yako mbona inaonesha inakubali vizuri tu mkuu, hebu nambie tatizo ni nini mpaka sasa?
Je, DVD haikubali kuboot? au inaboot ila haifikii kwenye Installation? au Inafikia na unafanikiwa kuinstall ila inakataa kuwaka? au Inafikia kwenye installation ila ikishamaliza inapowaka inarestart?
Hebu nipe wapi ulipofikia ili nijue nakusaidia vipi.
Kama imefikia kuinstall ila ikifika kwenye booting inarestart huenda ni 2Duo inasumbua hivyo ikiwaka ikifika kwenye Count down bonyeza F8 kisha andika cpus=1 kisha inter itakubali.
Mkuu nitajaribu kisha nitakwambia kinachoendeleaJaribu kwanza ikiwa kwenye SATA kwa sababu wakati wa Installation utachagua SATA/IDE. Hiyo ni hatua ya kwanza kujaribu kuinstall ikiwa kwenye muundo wake wa kawaida ikikataa ndo unaangalia ni nini kimesababisha kukataa kuboot. Hapa najaribu kuingiza OSX kwenye Toshiba Satellite processor i5.