Stephen Chelu - Therapy: Sikiliza Wimbo Wangu Huu Kisha Utoe Maoni Yako

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
8,252
Reaction score
18,335
Baada ya moonlight serenade ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Ambapo nilipokea maoni mbalimbali ambayo naendelea kuyafnyia kazi. nikukaribisheni tena kusikiliza wimbo mwingine uitwao therapy ambao nimeufanya mwenyewe mwanzo mwisho. hii ni express version kwa sababu bado sijaridhishwa na jinsi ninavyoisikia lakini bado sijapata namna bora ya kufanya niisikie vile ninavyotaka. hivyo naamini kuwa pengine maoni yenu yanaweza kunisaidia kuiboresha zaidi.

maoni yako yanahitajika sana

Mkuu,

Bado sitakuwa mbali Sana na ushauri wangu wa Mara ya mwisho though Kuna kitu Cha tofauti Leo nimekigundua kwako.

Leo nimegundua una sauti ya kufanya voice over,jaribu kujitafuta huko pia.

Kuhusu kurap nasema bado sana, nakuona mwepesi mno,hasa Kama una lengo la kuwa msanii wa mainstream Media.

Kwenye kuntengeneza beat uko vizuri Sana,nakumbuka nilishawahi kukuambia.

Yote kwa yote,Leo naona umeimprove tofauti na Mara ya mwisho.Nyimbo zako zote mbili zinasikilizika ingawa si Sana,maana binafsi siwezi kuweka kwenye repeat mode. Cha kukushauri zaidi ni endelea kukaza kwenye uandishi,bado una uandishi mwepesi mkuu.

Kuna mdau mmoja mkubwa Sana wa burudani hapa bongo ngoja Leo nimsikilizishe hizi nyimbo zote mbili alafu nimsikie maoni yake. Atakachoniambia nitakuja kuandika hapa pia.

Ngoja tusikie maoni ya wengine pia.
 
Maisha yananenda kinyumenyume, watu wamekuwa wakitoa maoni kuwa beat zangu ni nzuri wakati mimi huwa nazifanya nikiwa siziamini kabisa. huku ninakojipinda bado watu hawanielewi. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

but kama naimprove ni jambo zuri, kuhusu voice over nitalitizama hilo pia.

kwenye uandishi ni nani unamkubali kwa mfano ili pengine nipate darasa huko...
 
Kwa kuwa wewe ni msanii mpya unayechipukia sitakwenda mbali na walio level yako,I mean wasanii wa kisasa ambao wanafanya vizuri.

Na ushauri wangu ni huu;

1.Kama unataka hela,fame na interviews jifunze kwa Rapcha. Ana uandishi uliokomaa na anachana kwa swagger,nyimbo zake zinapendwa na mademu na anaenda na upepo wa soko linavyotaka.

2. Kama unaamini katika misimamo na njia zako bila kujali utapata shows, interviews na pesa (namba ndogo on-line) huku mziki wako ukiwaimbia watu maalum wanaokuelewa na kukusuport basi Kuna Hawa madogo kina kadgo kitengo,dizasta vina maradona na Mex. Ila Hawa kwa uandishi wako inabidi utulize kichwa kwelikweli,ila kwa kuwa unataka kujifunza lolote linawezekana mkuu.

Chaguo ni lako mkuu.
 
Hapo namba 2 ndo ulimwengu niupendao. Vina namsikiliza sana, hao wengine siyo kivile ila nitaongeza nyimbo zao kwenye playlist nione nasogeaje mbele.
 
Hujaitendea haki beat, umepoa sana

Unaonekana ni mtu fulani innocent sana
๐Ÿ˜€
Hapa naweza kujitetea japo kidogo, hizi nyimbo sifanyii studio, ni chumba chenye set up unayoweza kufanya wimbo so huwa siweki punch kubwa kwenye vocals kwa kukwepa kuwadisturb watu wengine.

nililiona hilo na kwa sasa nimeamua kusimama kurekodi mpaka nitakapopata solution.
 
Back
Top Bottom