Alegria do povo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 293
- 441
Kapicha gani Nifah?[emoji3] [emoji3]Picha jamani picha!
π‘π‘π‘π‘
Sina raha na habari kama hizi,kutokuona picha kunakera kinoma.
Moderator na wenzio hamulioni hili?
Hata hiyo picha uliyoweka wewe sijui umeweka picha gani!Kapicha gani Nifah?[emoji3] [emoji3]
Ngoja nikutumie kupitia whatsapp[emoji3]Hata hiyo picha uliyoweka wewe sijui umeweka picha gani!
Kiufupi picha hazifunguki kwangu kabisa!
Labda WhatsApp ya JF.Ngoja nikutumie kupitia whatsapp[emoji3]
Ninayo furaha nimemshuhudia Messi akicheza na wala sijahadithiwa. Miaka mingi ijayo kama nitajaliwa pumzi na Mungu, nitawahadithia wajukuu zangu.