Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Mungu tunaehubiriwa kuwa ana upendo sana alishindwaje kuumba dunia ambayo bad things haziwezekani?
Aliiumba Dunia nzuri na njema kabisa. Ila sisi wanadamu tukakaidi conditions alizotupa. Tusile tunda la mti wa katikati...haya maisha yetu ya sasa ni matokeo ya maamuzi magumu tuliyochukua karne nyingi zilizopita.
Mwenyezi Mungu yupo...na tutawajibika kwake hakuna namna
 
Alishindwa kuumba ulimwengu ambao mitihani haiwezekani?(conditions)
 
Alishindwa kuumba ulimwengu ambao mitihani haiwezekani?(conditions)

Wanadamu sio robots. Mungu hakutaka kutufanya sisi tuwe robots. Ndio maana tuna utashi na maamuzi. Ni kitu kikubwa sana. Wanyama wengine wote, hawana hiari ambayo binadamu tunayo. Wanyama wengine wote hawana choices ambazo sisi tunazo. Kwanini sisi ni bora kuliko wanyama wengine wote? Nini kimetufanya tuwe hivyo? Tunapoanza kusema science inaeleza kila kitu, tunajidanganya. Kuna mambo mengine mengi ambayo hatujaweza kuyajua na yapo. Hii science yetu sio final....mambo mengi sisi tusiofahamu, wanadamu wanaokuja watayafahamu tena yatabadili kabisa jinsi ya kuendelea kuishi kwenye hii sayari. Trust me, there is a supernatural power...THERE IS EXISTING ALMIGHTY GOD
 
Wapi amesema alishindwa ?

Kwanini asiumbe dunia ambayo bad things inawezekana ?
Mungu mwenye upendo wote na huruma yote kwa nini aumbe dunia ambayo bad things inawezekana?Kama anaumba dunia ambayo bad things inawezekana, nini maana ya hiyo kwamba ni Mungu mwenye upendo wote na huruma yote?
 
Lakini tukifika mbinguni tutakuwa robots siyo? Kazi yetu kubwa itakuwa ni kuabudu na kusujudu usiku na mchana milele na milele.

Naamini Mungu yupo. Naamini kuwa hatuwezi kumwelewa sawasawa kwa akili zetu hizi Alizotupa. Na uumbaji wake ni ushahidi tosha kuwa yupo. Siamini kuwa eti vitu vyote vili-bang tu from nothing. Na kwangu hili suala la uwepo wa Mungu wala halina mjadala.
 
Kwani Mola ndo anayewaamrisha watu kufanya hizo bad things?
Haamrishi watu kufanya bad things lakini alikuwa na uwezo wote wa kuumba dunia ambayo bad things haiwezekani.Kwa nini aumbe dunia ambayo bad things inawezekana wakati ana upendo wote na huruma yote?
 
I really don't understand the state of being the spirit.. Probably when a person goes to that level, the human thinking cease to exist
 
Sasa kama hajaamrisha unamtuhumu vp kwa kosa ambalo chanzo ni hao wanaofanya hayo mabaya ?
Nina mtuhumu kwa sababu ana upendo wote pamoja na huruma yote lakini anashindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
Akiwa mwenye upendo wote na huruma yote inazuia vipi yeye kuumba ulimwengu ambao bad things inawezekana ?
Unaelewa maana ya Mungu mwenye upendo wote na huruma yote?Unaelewa implications ya kuwa na huruma yote pamoja na upendo wote?
Kwanini asiumbe ulimwengu ambao bad things inawezekana ?
Hili swali nimeshakujibu kuwa ni kwa sababu ana huruma yote pamoja na upendo wote lakini naona bado unarudia kuuliza kama Kasuku!
 
Wewe ni ngumbaru wala hujui unachojadili!Unawezaje kufananisha uwezo wa Mungu na binadamu?Upo serious au unataka uanze kunipotezea muda?
 
Umeshindwa kutetea hoja yako..

Kwahiyo unakubali kuwa Mungu ana uwezo mkubwa,, nashkuru

Kwani mm nilikuwa natania hapo ?

Lete hoja mkuu twende taratibu, usianze kejeli
Kati ya mimi na wewe ambae unamfananisha Mungu na MO Dewji ni nani ameshindwa kutetea hoja yake?
 
Hivi Kiranga kwa kushabikia ujinga huu you believe you can lure away the intelligent,diagnostic and logical from God,no way.Utawapata the stupid and idiots.After all asiyekujua Kiranga ni mjinga tu.

Niseme kwamba mawazo ya Stephen Hawking ni rubbish and very stupid.So just because he has a body he believes there are no beings without a body!Very uninformed indeed. And how about Satan or Lucifer who he worships,how is he sure he exists.God Himself has said,"the stupid and idiots have said there is no God," and he is stupid and idiot indeed.

Evidence that God exists is all around us.The fact that the Galacies are so magnificently organized,forces balancing,in such a way thatthe stars and planets do not collide;the ecosystem so eloquently arranged,with ecological niches in balance; human beings so magnificently created, cannot surely be a game of chance!

Nadhani niseme hivi,it is stupid and idiotic to find a lunch table nicely arranged and conclude that it is a game of chance.So is the World.

But let me say this,it is wise and intelligent to believe that God exists,so that when you die and meet Him,you won't have much to loose.




By the way Kiranga,are you one of the secret armies of the Pentagon,the NWO cabal or Lucifer? See this👇.Because by all standards you are!


Secret Army’ of 60,000 Undercover Operatives Deployed Worldwide​

Posted on May 19, 2021 byState of the Nation
FacebookTwitterPinterestRedditEmail

Share

Pentagon uses world’s largest ‘secret army’ of 60,000 undercover operatives to carry out ‘domestic & foreign’ operations – media​



An aerial view of the Pentagon building in Washington, June 15, 2005 © Reuters
RT.com

The US military operates a vast network of soldiers, civilians, and contractors that it uses for clandestine missions both at home and abroad, Newsweek has claimed, adding that the force also manipulates social media.
After a two-year investigation, the outlet reported that the undercover army consists of around 60,000 people, many of whom use fake identities to carry out their assignments. The Pentagon’s agents operate in real life and online, with some even embedded in private businesses and well-known companies.
The massive program, unofficially known as “signature reduction,” is reportedly 10 times the size of the CIA’s clandestine service, making it the “largest undercover force the world has ever known,” Newsweek claimed. But the true scale and scope of the shadow army remains a closely guarded secret. No one knows the program’s total size, and Congress has never held a hearing on the military’s increasing reliance on signature reduction. There appears to be very little or no transparency regarding the massive clandestine military force, even as its continued development “challenges US laws, the Geneva Conventions, the code of military conduct, and basic accountability,” the outlet said.
Around half of the signature reduction force is said to consist of special operations personnel who hunt down terrorists in war zones and work in “unacknowledged hot spots” such as North Korea and Iran. Military intelligence specialists reportedly make up the second-largest part of the secret army.
However, the fastest-growing group within the Pentagon’s clandestine force operates exclusively online. These “cyber fighters” assume fake identities to gather intelligence and search for “publicly accessible information” on the internet. They even reportedly take part in “campaigns to influence and manipulate social media.” Hundreds of these shadowy keyboard warriors are employees of the National Security Agency, Newsweek reported.
According to the outlet, the network relies on 130 private companies and dozens of little-known and secret government agencies to support its operations. The businesses, which do everything from forging documents to creating disguises, collectively make over $900 million annually to help fund the secret army.
While the Pentagon’s agents typically remain under the radar, Newsweek claims there are several cases in which their covers have been blown. One such incident in 2013 involved American “diplomat” Ryan Fogle, who was arrested in Russia while allegedly trying to recruit a double agent. The case received wide media coverage and prompted considerable mockery, due to the seemingly outdated spying paraphilia that Fogle was in possession of, including wigs, sunglasses, a Moscow street map, a compass, as well as an old Nokia phone. However, an expert who spoke with Newsweek said the phone was likely concealing a highly sophisticated communications device.
___
Pentagon uses world’s largest ‘secret army’ of 60,000 undercover operatives to carry out ‘domestic & foreign’ operations – media
 
Ulimwengu na uhai usio na chanzo haumakiniki..Lazima kuna chanzo cha haya yote tunayoayoona, lazima kuna mwanzo wa kila kitu duniani.Huenda akili zetu ndio ndogo sana kuweza kukielewa na kukielezea hiko chanzo ambacho watu wengi tunaamini ni Mungu.
 
Ulimwengu na uhai usio na chanzo haumakiniki..Lazima kuna chanzo cha haya yote tunayoayoona, lazima kuna mwanzo wa kila kitu duniani.Huenda akili zetu ndio ndogo sana kuweza kukielewa na kukielezea hiko chanzo ambacho watu wengi tunaamini ni Mungu.
Yoda huwa tunatofautiana sana katika mambo mengi,lakini kwa hili tuko pamoja.Hongera sana kwa mawazo yako,kuntu kabisa.
 
Kwanza kabisa, thibitisha huu ni ujinga.
 
Naona mpumbavu mwenzako ndugu hawking amekupa nguvu mpya ari mpya na kasi mpya katika kuukana uwepo wa mungu
 
Kwanza kabisa, thibitisha huu ni ujinga.
The same old stupid game of the Devil.Anyway iko wazi ni ujinga,because God proves himself that he exists,he does not need any body to prove that he exists. Furthermore,the fact that Satan who you worship exists,proves that God exisists,because it is God who created Satan in the first place.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…