Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

And those who disbelieve and deny Our signs - those will be companions of the Fire; they will abide therein eternally." (Qur'an 2: 39)
 
You shouldn't be despaired about the truth of existence of God,apart from having proof from the Holy Bible and scientific theories for atheists,there are simple questions which both atheists and God's believers must comply in common.
God is unseen and so does to the nature, for this sake,how can you believe in nature which is unseen and deny the existence of God who also is unseen?
Therefore, the atheists have no stronger reasons to argue other than exposing their idiotism.
 
Moreover, nobody has ever seen nature to prove its existence...
 
Mfano rahisi ni hapo hapo kwenye number line hujui number ndogo zaidi upande wa negative since negativity ni infinity na hujui number kubwa vilevile upande wa positive since positivity ni infinity,kwanini basi hujui,hujui kwasababu haina mwisho itaendelea kukuwa tu kubwa daima (no end)na itaendelea kuwa ndogo zaidi daima(no beginning) lakini hiyo hali imeshikiliwa na zero as a center ,zero defines nothing lakini hiyo zero ndo source ya both infinities both kwenye positivity na negativity.kwahiyo mahesabu yanaprove logically thinking limitation kuwa tutajua mbali zaidi kuhusu yajayo ila haiwezakani kujua mwisho ya yajayo zaidi ya kianzilishi chenyewe ambacho ni zero since ndo kimeanzisha, same applies upande wa pili tutafika mbali sana kuhusu wapi ulimwengu umeanza lakini hatutofika mwanzo maana hakuna mwanzo ,anaejua mwanzo pekee ni zero maana ndo mwanzilishi.kwa upeo wangu najua GOD EXISTS NA YUPO KWENYE EMPIRE YAKE NDANI YA ZERO,na zero ni nothing,but within nothing there is SOMETHING.
 
yes yes, noooooo my friend, and yes! Okay?
So ..I understand.. eer
No no no no, but_!
 
Wewe mbona umeshindwa kuthibitisha uwepo wa nature?
Kazi yake ni kurukaruka tu mara hili mara lile - hana lolote isipokuwa tu kwamba anataka kulazimisha kuwa yeye tu ndiye anayejua kuchangia vizuri. Hopeless guy
You are not answering the question I asked.

And if there is a question you are answering, I did not ask it.
I didn't want to answer it because there was no reason for it.
 
Kazi yake ni kurukaruka tu mara hili mara lile - hana lolote isipokuwa tu kwamba anataka kulazimisha kuwa yeye tu ndiye anayejua kuchangia vizuri. Hopeless guy

I didn't want to answer it because there was no reason for it.
Hujathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.

Kwa sababu huwezi kuthibitisha.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
 
Asikusumbue huyo mkuu,nimemuuliza maswali kachemka kunijibu,hajui hata anapinga nini na ana support nini,yupo yupo tu.
Nilicho mgundua huyu mtu ni kuwa yeye anajitahidi sana kupinga dalili za uwe wa mungu lakini yeye hatuthibitishii yeye ni nani hasa ndiyo chanzo cha vyote ulimwenguni.

Ukimkataza mtu asitupe taka hapa muonyeshe pakuzitupa sio una mkandia hali ya kuwa we we mwenyewe hujui lolote
 

Most of atheists believe that everything can be understood through scientific units of measurement,such notion cannot be applied in explaining the existence of God.

Thus,leading to a myriad of never-ending failed attempts if you try to do some explaining in quantifying God(egg and chicken scenario).
 
How do you know God actually exists, and ia not just a product of your imagination?

Like Santa Claus or something fictitious like that?
 
Hujathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.

Kwa sababu huwezi kuthibitisha.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
1. Huwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa kutumia sayansi (inayotaka empirical evidence). Ila kama unataka ninaweza kusema kwamba, kama kila kilichopo ulimwenguni kilisababishwa na Big Bang, then Big Bang ilisababishwa na Mungu ambaye ndiyo chanzo cha kila kitu.
2. Sayansi is limited to the material aspect of reality, but what is beyond the material, it is silent and it's there that we need other disciplines to explain the beyond such as natural theology or metaphysics. If we force science to prove God's existence, then what we are doing is scientism (stretching science beyond its scope of competence).
 
How do you know God actually exists, and ia not just a product of your imagination?

Like Santa Claus or something fictitious like that?

Am religious but not an extremist so i wont go out of my way to explain the whole concept of belief in God since the belief is more on a personal level and my personal views are not sets of definite rules.

But then again all the theories that are used as pillars of atheism are based on assumptions and suppositions(figments of imagination of some ancient scientists like Darwinism or Big Bang).

Can you substantiate without a doubt,with your own thinking that these scientists where not hallucinating in some inexplicable realms of science fiction? Mind you I believe in science but not some fringe-like theories.
 
What is your epistemology?
 
Hujathinigisha uwepo wa Mungu kwa njia yoyote ile.

Umetoa assumption tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…