So, your epistemology is logical I take it?
A logical epistemology forbids the existence of an all knowing, all capable and all loving Godhead.Yes am along those lines.
GOD EXISTSMfano rahisi ni hapo hapo kwenye number line hujui number ndogo zaidi upande wa negative since negativity ni infinity na hujui number kubwa vilevile upande wa positive since positivity ni infinity,kwanini basi hujui,hujui kwasababu haina mwisho itaendelea kukuwa tu kubwa daima (no end)na itaendelea kuwa ndogo zaidi daima(no beginning) lakini hiyo hali imeshikiliwa na zero as a center ,zero defines nothing lakini hiyo zero ndo source ya both infinities both kwenye positivity na negativity.kwahiyo mahesabu yanaprove logically thinking limitation kuwa tutajua mbali zaidi kuhusu yajayo ila haiwezakani kujua mwisho ya yajayo zaidi ya kianzilishi chenyewe ambacho ni zero since ndo kimeanzisha, same applies upande wa pili tutafika mbali sana kuhusu wapi ulimwengu umeanza lakini hatutofika mwanzo maana hakuna mwanzo ,anaejua mwanzo pekee ni zero maana ndo mwanzilishi.kwa upeo wangu najua GOD EXISTS NA YUPO KWENYE EMPIRE YAKE NDANI YA ZERO,na zero ni nothing,but within nothing there is SOMETHING.
Prove so. Dont just shout.
Nimesema siwezi kuthibitisha kwa kutumia sayansi (unayoamini) kuwa Mungu yupo, except kusema kwamba kama Bing Bang ilitokea, basi ndiye aliyesabisha itokee - maana ndiye chanzo cha kila kitu: living and non-living. Sayansi inahitaji ufanye experiment na Mungu hahitaji hiyo experiment. Ufanye au usifanye experiment - Mungu yupo. Experiment ifanikiwe au isifanikiwe, Mungu yupo. Hivyo, kuthibitisha kitu siyo msingi wa uwepo wa Mungu.Hujathinigisha uwepo wa Mungu kwa njia yoyote ile.
Umetoa assumption tu.
God wako ni zero?Mfano rahisi ni hapo hapo kwenye number line hujui number ndogo zaidi upande wa negative since negativity ni infinity na hujui number kubwa vilevile upande wa positive since positivity ni infinity,kwanini basi hujui,hujui kwasababu haina mwisho itaendelea kukuwa tu kubwa daima (no end)na itaendelea kuwa ndogo zaidi daima(no beginning) lakini hiyo hali imeshikiliwa na zero as a center ,zero defines nothing lakini hiyo zero ndo source ya both infinities both kwenye positivity na negativity.kwahiyo mahesabu yanaprove logically thinking limitation kuwa tutajua mbali zaidi kuhusu yajayo ila haiwezakani kujua mwisho ya yajayo zaidi ya kianzilishi chenyewe ambacho ni zero since ndo kimeanzisha, same applies upande wa pili tutafika mbali sana kuhusu wapi ulimwengu umeanza lakini hatutofika mwanzo maana hakuna mwanzo ,anaejua mwanzo pekee ni zero maana ndo mwanzilishi.kwa upeo wangu najua GOD EXISTS NA YUPO KWENYE EMPIRE YAKE NDANI YA ZERO,na zero ni nothing,but within nothing there is SOMETHING.
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.Nimesema siwezi kuthibitisha kwa kutumia sayansi (unayoamini) kuwa Mungu yupo, except kusema kwamba kama Bing Bang ilitokea, basi ndiye aliyesabisha itokee - maana ndiye chanzo cha kila kitu: living and non-living. Sayansi inahitaji ufanye experiment na Mungu hahitaji hiyo experiment. Ufanye au usifanye experiment - Mungu yupo. Experiment ifanikiwe au isifanikiwe, Mungu yupo. Hivyo, kuthibitisha kitu siyo msingi wa uwepo wa Mungu.
You really have a shallow scope did you even got the semantic on what I was trying to relate,GOD EXISTS BUT CAN BE PROVEN BY OUTPUTS NOT OWN INPUTS BECAUSE YOU ARE CREATED WITHIN THEE BOUNDARIES AND HAVE INABILITY TO SEEK WHAT YOU WANT.God wako ni zero?
A logical epistemology forbids the existence of an all knowing, all capable and all loving Godhead.
That Godhead, is contradicted by "the problem of evil".
A logical epistemology does not accommodate contradictions.
Do you follow?
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Ndiyo maana unakimbilia kuwa mwanamazingaombwe ya kulazimisha mambo.
God wako ni zero?
Hoja yako ni kwamba Mungu angekuwepo asingeumba ulimwengu ambao kichaa kinaweza kumtesa kiumbe wake mpendwa,umetoa maelezo hayo baada ya kuitwa kichaa,kwa hivyo Mungu hayupo ndio maana wewe kichaa unateseka hivyo angekuwepo basi wewe ungekuwa kiumbe chake mpendwa na hivyo usingekuwa kichaa na kuteseka.Ngoja nikusaidie kusoma wewe guluguja ngumbaru usiye na ubongo wala uti wa mgongo.
Nimeandika hivi
"Kama ni kweli kichaa kinanitesa, huo nao ni ushahidi mwingine Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao kichaa kinaweza kumtesa kiumbe wake mpendwa. "
Hakuna nilipoandika kwamba mimi ni kiumbe mpendwa wa Mungu.
Nitaandikaje hivyo wakati sikubali uwepo wa huyo Mungu?
Unaelewa hypothetical question wewe?
Unaelewa immanent critique?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Hoja ya kuwepo kwake haitakuwa na logical inconsistencies na contradictions.Akiwepo utamjuaje wewe kama wewe kama sasa hayupo???
Siyo mimi nimejiweka.Hoja yako ni kwamba Mungu angekuwepo asingeumba ulimwengu ambao kichaa kinaweza kumtesa kiumbe wake mpendwa,umetoa maelezo hayo baada ya kuitwa kichaa,kwa hivyo Mungu hayupo ndio maana wewe kichaa unateseka hivyo angekuwepo basi wewe ungekuwa kiumbe chake mpendwa na hivyo usingekuwa kichaa na kuteseka.
Ndiyo nikakuuliza hata kufikirika tu kwamba wewe nae umejiweka kwenye kiumbe mpendwa wa Mungu?
Cruelty kajifanyia mwenyewe kumuweka Mungu wake katika zero.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] This is cruel
Hoja ya kuwepo kwake haitakuwa na logical inconsistencies na contradictions.
Ukikataa logical consistency, umekubali chaos.
Yani hata hiyo Mungu kuwepo, ili kuweza kutetea hoja hiyo, utatumia logical consistency.
Unaelewa hilo?
Wewe hapo ukiambiwa ueleze tu ni vp Mungu huyo hayupo,unaanza kuingiza habari za ulimwengu sijui Mungu huyo kuumba ulimwengu huu ni contradiction..halafu cha kuchekesha unahitimisha Mungu hayupo yani simple kiasi hicho.Hujathibitisha Mungu, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, acha longolongo.
Thibitisha Mungu yupo.
Cruelty kajifanyia mwenyewe kumuweka Mungu wake katika zero.
Na kama Mungu wake ni zero, anaweza kuwa anasema kitu kile kile ninachosema, kwa lugha tofauti tu.
Mimi nasema Mungu hayupo, yeye anasema Mungu ni zero.