Hapo nikisema nianze kutaka ufafanuzi wa hicho ulichokisema najua hutoweza,na mara zote umekuwa unaropoka vitu usivyoweza kuvielezea.Huwezi kuwa na hakika, halafu hapo hapo ukawa una imani, imani ni kutokuwa na hakika, unaelewa hilo?
Kipi kinakufanya ufikirie kuwa Mungu kaumbwa hadi uulize nani kamuumba Mungu?Hapana anasema kama tunajua kisayansi jinsi upepo unavyotengenezwa, kiasi kwamba tunaweza tengeneza upepo artificial kwa science ya kibinadamu.
Au mvua, ambayo inanyesha kiasili tukiamini ni Mungu amefanya, leo kwa science iliyopo hata wewe ukifundishwa unaweza ukaitengeneza na hakuna nguvu nyingine inayoweza kuizuia mvua yako isinyeshe.
Tsunami,tetemeko,ukame,miamba tunajua kisayansi inavyotengenezwa au jinsi ya kuibomoa.
Kama hayo yanafanyika kibinadamu na kwa kufuata science principles, kwanini tuendelee kuamini uwepo wa Mungu mwenye uweza?
It is a matter of time Wanasayansi wapo karibu zaidi na ukweli kuliko fumbo la uwepo wa Mungu, ambalo tunakatazwa kuhoji baadhi ya maswali juu yake.
Mfano Nani alimuumba Mungu
Maswali huwa ni mengi kwa wenye kuamini Mungu hadi inakosekana nafasi ya kuwauliza maswali wanaodai hakuna Mungu.Yapo maswali mengi tu
Mfano
Wanasema hapo mwanzo mungu aliumba mbingu na nchi
swali,: huyo mungu alikua anaishi wapi wakati anaziumba mbingu na nchi?
Why,How,Where?Kipi kinakufanya ufikirie kuwa Mungu kaumbwa hadi uulize nani kamuumba Mungu?
Hakika ni kitu chenye uthibitisho.Hapo nikisema nianze kutaka ufafanuzi wa hicho ulichokisema najua hutoweza,na mara zote umekuwa unaropoka vitu usivyoweza kuvielezea.
Neno "hakika" lina maana gani?
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Maswali huwa ni mengi kwa wenye kuamini Mungu hadi inakosekana nafasi ya kuwauliza maswali wanaodai hakuna Mungu.
Mfano mie najiuliza watu wanaosema hakuna Mungu wamewezaje kujua hilo kuwa kweli hakuna Mungu hadi wakafikia hitimisho hilo na sio vinginevyo?
Wapi ninekwambia natumia references za vitabu tu?aah kumbe bwana kiranga anatumia references za vitabu kuleta mjadala kuwa Mungu hayupo....sasa kama ni references tu za vitabu basi na sisi tunaweza kutumia Biblia na Kuran kule uthibitisho kuwa Mungu yupo sasa sijui je ataweza amini hivyo vitabu?
maana yeye anataka tuamini kupitia vitabu alivyosoma tusiamini uwepo wa Mungu
kwa namna hii hawezi pata jibu kamwe....sababu anakuwa kama anashawishiwa na maandiko ya wanasayansi kuwa Mungu hayupo na si kwa matakwa yake....!
Eti Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na dhambi, maasi, magonjwa, vifo, matetemeko ya ardhi, vimbunga etc.Why,How,Where?
Kwenye kila kitu lazma ujiulize maswali haya.
Ukiona hayajibiki, wee jua tu sanaa na ujanja ujanja umeingizwa kwenye hilo jambo.
"AMETUKUKA ambaye mkononi mwake umo UFALME WOTE; Na Yeye ni mwenye UWEZA juu ya kila kitu".Eti Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na dhambi, maasi, magonjwa, vifo, matetemeko ya ardhi, vimbunga etc.
Kwa nini?
Kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mabaya yoyote hayawezi kutokea?
Sijajibiwa swali hili mpaka sasa.
Kwa sababu huyo Mungu hayupo.
Ni hadithi tu.
Kipi kinakufanya ufikirie kuwa Mungu kaumbwa hadi uulize nani kamuumba Mungu?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?"AMETUKUKA ambaye mkononi mwake umo UFALME WOTE; Na Yeye ni mwenye UWEZA juu ya kila kitu".
"Ambaye ameumba MAUTI na UHAI ili KUKUJARIBUNI ni nani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri. Na Yeye ni mwenye nguvu na Mwenye msamaha.
(Qur'an 67:1-2).
NB: Kila mtunga mtihani makusudio yake ni kuwa wapo watakaofaulu na kinyume chake. Kinyume na hapo hauitwi mtihani. Logically consistent!.
It was reported from Abu Sa'id that the Prophet Muhammad (on him be peace) said: "The Hour will not come until the time when a man will leave his home, and his shoes or whip or stick will tell what is happening to his family". (Ahmad, musnad 3/88,89)Scientists wanazidi kuthibitisha hoja yao ya uwepo wa Mungu kila uchwao. Ugunduzi unafanyika na kuthibitishwa kisayansi unazidi ongeza uzito kwenye hoja zao.
Mfano: 1800 kila mmoja duniani aliamini Mwenye kuweza kufanya mvua ni Mungu/Mchawi pekee. Leo tunaona jinsi Science ilivyoweza kukuletea mvua hata jangwani muda wowote kwa formula maalum ambayo ukimfundisha mtu yeyote anaweza ifanya.
Miaka ya Mtume walikuwa wakiamini jua linazama kwenye tope mwishon mwa kingo za dunia. uelewa wa akili zao za kupembua mambo uliishia kwenye kufikili hivyo. Leo tunashuhudia sayansi inavyothibitisha mfumo mzima wa jua kutoka na kuzama, kuweza tengeneza majua mbadala na kugundulika kwa majua mengine sayari nyingine huko.
Tumeona jinsi science inavyothibitisha kitaalamu magonjwa ya akili kwa wale watu waliitwa wana mashetani. Na yanatibika.
Tumeona wakituletea vitu ambavyo havikuwahi fikilika miaka ya nyuma mfano video call, computer,ndege.
Kila siku inayokuja, Science inazidi kuthibitisha hoja ya Dunya kutokuumbwa na Mwenyez Mungu.
Same same level of thinking! Below imaginary levelUnaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Watunga mitihani huwa wana kengo la kujua watahiniwa wanajua nini na hawajui nini.
Mungu wako unayesema anajua kila kitu, na yeye ndiye aliyewapa uwezo viumbe wake, anatunga mtihani ili iweje wakati yeye anajua kila kitu?
Anajitekenya mwenyewe halafu anacheka mwenyewe?
Hujathibitisha Mungu yupo wala kujibu maswali niliyouliza.Same same level of thinking! Below imaginary level
Nothing new when it comes to inventions of Computer, mobile phone, chips, radio calls, nothing new. (Musnad Ahmad 3/88/89)It was reported from Abu Sa'id that the Prophet Muhammad (on him be peace) said: "The Hour will not come until the time when a man will leave his home, and his shoes or whip or stick will tell what is happening to his family". (Ahmad, musnad 3/88,89)
It was reported from Abu Sa'id that the Prophet (on him be peace) said: "By Him whose Hands is my soul (Allah), the Hour will not come until wild animals talk to men, and a man speaks to his whip or his shoe, and his thigh will tell him about what happen to his family after he left". (Ahmad, musnad 3/88,89).
NB: Nakumbuka wakati simu zinaingia zilikuwa zikiwekwa kwenye mkanda wa kiuno! Ha ha ha haaaa.
ETI HAYAKUJULIKANA HAYA 1400YRS BACK?? NOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!
YALIJULIKANA!!!!
NI KWELI! SCIENCE INAZIDI KUTHIBITISHA UKWELI WA KUWEPO MUNGU HATA KAMA AKILI YAKO ILIKUWA IMEPINDA KATIKA UANDISHI LAKINI MOYO UMEZUNGUMZA KWELI!!! ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa to infinity!!
Thibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.Nothing new when it comes to inventions of Computer, mobile phone, chips, radio calls, nothing new. (Musnad Ahmad 3/88/89)
Nothing new when it comes to explanation of expansion of universes, nothing new (Qur 51:47)
Nothing new when they tell us the universes was emerged from big explosion and from singular object nothing new (Qur 21:30)
Nothing new when they tell us that the sun not only does rotate but revolves around the galactic centre so does the earth do, nothing new (Qur 21:33)
Nothing new when it comes to seven layers of the atmosphere so does that of the Earth, nothing new.
Nothing new when it comes to the fact that the Earth lands is shrinking, nothing new (Qur 13:41)
Nothing new that all living things is made from water, nothing new, (Qur 21:30).
And so many more!
To this side, our hearts and minds finds comfortability! As no questions passes without being answered.