Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

same same level of thinking. Below imaginary level.
NARUDIA KWA MARA YA 6: ANZISHA UZI KISHA CHAGUA NUKTA TUZIJADILI. KUPIGA KELELE HAKUKUSAIDII. NIMEKUOMBA HII NI MARA YA SITA.
BELOW LEVEL OF THINKING!!!.
ARROGANT MIND THINK AND ACT ARROGANTLY.
 
Hujajibu contradictions hizo.

Maana yake umekubali Quran ni uongo.
 
Hili swali lako linanifanyaga wakati mwingine napunguza kasi ya kuhudhuria ibada nahisi labda viongozi wangu wa ibada wanadanganya baadhi ya vitu!
Kuna saa nafikiria nahisi kuna siri wachache wanaijua ila kuhoji kwanini hivi siwezi!!

Nahisi kama nitaonekana mtu wa ajabu au pengine nigombane na watu kisa vitu ambavyo sina uhakika navyo
 
Hizi hoja zako zoooote zingekuwa za kweli_kama tu nanasi lisingekuwa na utamu ule

usiniambie limetokea kiajaliajali bila fundi.!
 
Hizi hoja zako zoooote zingekuwa za kweli_kama tu nanasi lisingekuwa na utamu ule

usiniambie limetokea kiajaliajali bila fundi.!
Unaelewa kwamba hoja ya kusema kizuri, kitamu, kilicho complex lazima kiwe na fundi aliyekitengeneza inaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hawezekani kuwepo?

Haioneshi kwamba Mungu huyo yupo?

Unaelewa mantiki ninayotumia hapa?

Unaelewa kwamba hoja yako itataka Mungu naye awe na muumbaji wake, na muumbaji wake awe na muumbaji wake, ad infinitum, ad nauseam?

Unaelewa katika ulimwengu hui Mungu mjuzi wa yite, mwenye uwezo wite na uoendo wote hawezi kuwapo?

Unaelewa hoja uliyoitoa ya utamu wa nanasi inakupinga hoja yako kwamba Mungu yupo?
 
Haya nimeweka siti_Nieleweshe
 
Hizi hoja zako zoooote zingekuwa za kweli_kama tu nanasi lisingekuwa na utamu ule

usiniambie limetokea kiajaliajali bila fundi.!
Kukuongezea kwenye hili, kuna mbolea ikitumiwa huongeza utamu au ubora wa tunda. Kuna za kuongeza ukubwa au hata kujikinga na magonjwa.
Wanasayansi washafanyia kazi hilo.
 
Haya nimeweka siti_Nieleweshe
Ukishasema kizuri, kitamu, kilicho complex ni lazima kiwe na muumbaji, hakiwezi kutokea tu, umesema Mungu naye ni lazima awe na muumbaji, hawezi kuwepo gu.

Na akishakuwa na muumbaji, si Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Unaelewa hilo?
 
Nitaelewa vipi wakati unanijibu nusunusu..!

Mi nakusikiliza tu_We Mwagika tu
 
kama umemaliza sema
 
Kukuongezea kwenye hili, kuna mbolea ikitumiwa huongeza utamu au ubora wa tunda. Kuna za kuongeza ukubwa au hata kujikinga na magonjwa.
Wanasayansi washafanyia kazi hilo.

huko ndio kutengeneza...!?

Hata mimi jikitaka liwe la ugwadu naweza
 
Hakika ni kitu chenye uthibitisho.

Imani ni kitu kisicho na uthibitisho.
Mfano wewe umeweka hela juu ya meza yako nyumbani kisha ukatoka nje baadaye kurudi hukuti hela kwenye hiyo meza,mtu akikuuliza unahakika uliweka hela kwenye hiyo meza?

Je Hili swali tafsiri yake ni kwamba una uthibitisho kuwa uliweka hela kwenye hiyo meza?? Na kama huna uthibitisho wa kuweka hela kwenye meza je maana yake huna uhakika kuwa uliweka hela kwenye meza?
 
Why,How,Where?
Kwenye kila kitu lazma ujiulize maswali haya.
Ukiona hayajibiki, wee jua tu sanaa na ujanja ujanja umeingizwa kwenye hilo jambo.
Ndio nimekuuliza kwanini unafikiri Mungu kaumbwa?
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kwa sababu dhana ya kuwepo kwake inakuwa contradicted na the problem of evil.

Ndiyo maana hata wewe huwezi juthibitisha yupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
Haujaeleza ni vp umeweza kujua Mungu hayupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…