Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Kiranga njoo umjibu dada ako

Mi sielewi maswal yake

Hana uwezo wa kujibu maswali haya na mfano wa haya,na kuna wakati huwa namuuliza naswaki si kwa lengo anijibu bali huwa naonyesha watu uko wapi ujinga wake na kumuonyesha yeye pia ujinga wake uko wapi. Kwa ufupi huwa namsaidia.
 
Hivi ndivyo nilivyo mimi.
Kwamba siku mojamoja mambo yanatulia

Ila ukipitia kwenye dhikri tena bila kupoa ukitimba humu ndio unatuletea yale tuliyoyazoea. [emoji16][emoji16][emoji16]

Nadhani leo umesali rakaa mbili za sunna kabla ya kukoment [emoji23]
 

Inakuwaje umeamua kuishi katika maisha ya dhana ? Hivi ukisema jambo hulijui unapungukiwa na nini au utaulizwa kwanini hulijui ?

Hizi kauli "....unaweza ...." zinaonyesha hujui lolote juu ya hivyo ulivyoulizwa,kusema "sijui" kwa usilolijua ni "nusu ya elimu" yaani ndio kujitambua kwenyewe,sasa unavyojitutumua una haribu na kujichoresha tu.
 
Kwamba siku mojamoja mambo yanatulia

Ila ukipitia kwenye dhikri tena bila kupoa ukitimba humu ndio unatuletea yale tuliyoyazoea. [emoji16][emoji16][emoji16]

Nadhani leo umesali rakaa mbili za sunna kabla ya kukoment [emoji23]

Hapana,nitakuwa nimeotea leo.
 
Kwamba siku mojamoja mambo yanatulia

Ila ukipitia kwenye dhikri tena bila kupoa ukitimba humu ndio unatuletea yale tuliyoyazoea. [emoji16][emoji16][emoji16]

Nadhani leo umesali rakaa mbili za sunna kabla ya kukoment [emoji23]

Inaonekana huwa kuna muda naharibu sana sio ? Unatakiwa uwe unanistua ninapo haribu si unajua lengo ni kujenga.
 
Kwamba siku mojamoja mambo yanatulia

Ila ukipitia kwenye dhikri tena bila kupoa ukitimba humu ndio unatuletea yale tuliyoyazoea. [emoji16][emoji16][emoji16]

Nadhani leo umesali rakaa mbili za sunna kabla ya kukoment [emoji23]


Hivi na wewe huamini uwepo wa Mungu sio ? Au nakufananisha ?
 
Inaonekana huwa kuna muda naharibu sana sio ? Unatakiwa uwe unanistua ninapo haribu si unajua lengo ni kujenga.
Ujenge na Nani..? Wakati mwengine huwa nafurahi kuona aibu yenu_siwachukii ninyi ila sipendi mtazamo wa chama chenu
 
Tatizo unajifanya kwamba unajua kila kitu, na kinyume chake ndio sahihi.

Una ubishi wa kitoto, na kama ungekuwa una nia ya kujua kama Mungu yupo hill lingeshaisha muda mrefu.

Tatizo unajifanya mjuaji.

Umeulizwa huko juu kuhusu Socrates hujatoa jibu mpaka sasa.

Uchawi na Shetani ni Mali na mmiliki wake, sasa unasema kama Shetani/uchawi upo basi Mungu hawezi kuwepo!!??

Kwamba kama uovu upo Na mahakama inayohukumu waovu haipo sababu mahakama inayopenda watu waishi kwa ustaarabu haiwezi ruhusu?

Sihitaji kukupa definition ya hayo unayouliza Ila Niko tayari kukupa nauli nikupeleke Tanga ama Morogoro nikufikishe kwa wazee ukajionee mwenyewe...!

Ubishi wa kujijaza kichwa kwamba unaakili sana kwa kupinga uwepo wa Mungu haukusaidii.

Ungekuwa na akili sana ungefanya mambo yanayoisaidia jamii yetu ya Afrika kupiga hatua, lakini wapi..., umekalia "Hakuna Mungu, hakuna Mungu"

Tuna Ebola, tuna Malaria, tuna Magonjwa ya mimea, tuna shida za maji, umeme kama UNA AKILI SANA, mbona usifanye kutoa mchango wako kwa jamii tukusifu, tuseme Kiranga ana akili kavumbua hiki na kile?
 
Naomba unitenganishie kati ya "Imani" na "Kujua" ?!
Imani ni neno lenye matumizi sahihi kidini

Ili upate maana iliyo sawia ya neno hilo yakupasa uwe na mtazamo wa kidini_wenye dini ndio mnajua maana halisi ya neno hilo

Mimi sio wa kidini_kwa kulijua hilo kitambo tu nimeacha kulitumia kwa kuona linapelekea maana tofauti kwa wengine

Ila kwa neno 'kujua' nafahamu linatokana uthibisho wenye uhakika wa Jambo au taarifa_kuna kingine Mufti..?
 
Unasema kwamba Mungu wako muweza yote uwezo wake ni sawa na wa mahakama isiyoweza yote?
 

The big Bang theory inatenganishwa vipi na Mungu kuumba ulimwengu? Big bang is just sub set of creation. Au walitaka aseme wakati anaumba alifanyaje mpaka vitu vikatokea.
Kama anasema let there be light and there was light. Je unategemea wakati hiyo light inajiumba hakukuwa na some quantum reaction?
The Bible just tells Mungu aliumba haikusema how. So whether it's big bang or whatever, the bottom line for me, ni uthibitisho kwamba big bang was not commanded by God.
Hizo laws za quantum kwani haziwezi zikawa ndani ya hiyo set ya creation? It's true time haikuwepo ndo maana hata biblia inasema hapo mwanzo. Haikusema kipindi cha zama fulani bali imesema hapo mwanzo...

Huyo anayetafuta kuthibitisha kama ni kweli Mungu ndie alieumba, Kwanza anatakiwa kuthibitisha kwamba Mungu hahusiki na hizo theories wanazozikubali kuhusika kupelekea uumbaji.

Mbona hata bible inasema pale kwa Ayubu 38:33:


Job 38:
38 Then the Lord spoke to Job out of the storm. He said:

2 “Who is this that obscures my plans
with words without knowledge?
3 Brace yourself like a man;
I will question you,
and you shall answer me.
4 “Where were you when I laid the earth’s foundation?
Tell me, if you understand.
5 Who marked off its dimensions? Surely you know!
Who stretched a measuring line across it?
6 On what were its footings set,
or who laid its cornerstone—


33 Do you know the laws of the heavens?
Can you set up God’s[a] dominion over the earth?


Wanadamu wanahangaika kujua ulimwengu wote ili katika kujua ulimwengu wote wanaamini wanazeweza kuyajua maarifa yote ya Mungu ndo maana wamewekewa ukomo wa kuujua Ulimwengu wote.


Ecclesiastes 3

11 ...............: also he hath set the world in their heart, so that no man can find out the work that God maketh from the beginning to the end
 
Kama Mungu wa Biblia ni wa kweli, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliweza kuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka.

Kwa nini ameumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?

Umelielewa swali?

Unaweza kulijibu?

Kama umelielewa na unaweza kulijibu, lijibu.

Kama hujalielewa, uliza ueleweshwe.

Angalizo, jibu kama umeelewa swali tu.
 

Kila jambo lina kanuni ili kiweze kuwepo. Ndo maana anamuuliza Ayubu .. Unazijua Kanuni zilizotumika ?
Ndo maana alipanda mti wa mauti na akatoa maelekezo.... matunda yake yasiliwe.
 
BARIKIWA SANA NDUGU..... MTU MAKINI SANA WW.
 
Kila jambo lina kanuni ili kiweze ku kuwepo. Ndo maana anamuuliza Ayubu .. Unazijua Kanuni zilizotumika ?
Ndo maana alipanda mti wa mauti na akatoa maelekezo.... matunda yake yasiliwe.
Hujajibu swali nililokuuliza, na ulilojibu sijakuuliza.

Unaelewa hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…