Sijazungumzia utani hapa hayo ya labda uyalete wewe ila mimi sina na utani.Wewe unaweza kuandika hivyo kunogesha stori hata kwa njia ya utani ukawa sawa
Sasa unataka kusema kua kuran nayo inatumia utani kuandika habari zake??
Hawaeleweki wanabishia nini. Wanavyojaribu kui defense kuraan wanajikuta wanaipaka matope bila kujijuaHahaha hawa jamaa wana staabisha...
Sijazungumzia utani hapa hayo ya labda uyalete wewe ila mimi sina na utani.
Tatizo ni wewe hujaelewa kilichoelezwa huko kwenye Qu'an,wewe umechukua tu maneno ya jua kuzama kwenye matope na ukajanayo ndiyo maana nakuuliza hayo matope ni ya wapi hujui,mkifafanuliwa pia hamtaki sasa tufanyaje?
Atupe na video ya mungu na shetani tuone action zao kwenye ile vita iliyopigwa huko juuHayo maigizo tu kama ya Brian Deacon alivyoigiza habari za Yesu.
Mbaya zaidi hujajibu nilichokuuliza,rudi usome tena maswali hayo.
Kitu kuzungumzwa sana na jamii nyingi nje na ndani ya vitabu siyo kigezo cha kitu hicho kuwa kilivyo ama kuwepo.Mungu hazungumziwi kwenye vitabu tu na ndiyo maana ukiangalia karibu kila jamii na lugha zote zina hilo neno Mungu,sasa huyo aliyebuni alianzia kubunia wapi na lini?
mungu muweza wa yote - wakati tunaona wenyewe kuwa anashindwa kuutumia uweza wake wa yote kumdhibiti shetani --lazima tuhoji huo uweza wake wa yote uko wapi ??Bado una safari ndefu sana ya kufikia hatua ya uelewa
Kitu kuzungumzwa sana na jamii nyingi nje na ndani ya vitabu siyo kigezo cha kitu hicho kuwa kilivyo ama kuwepo.
Mfano suala la dunia kuwa bapa liliandikwa sana enzi za Aristotle hàdi Claudius Ptolemy.
Na bado jamii nyingi ambazo hazijapata walau elimu ya kuanzia primary zinajua dunia ni bapa.
Hata hivyo haifanyi hali hiyo kuwa kama ilivyo.
Habari za Mungu zilibuñiwa toka màshariki ya kati na watawal ili kufanikisha maslahi yao.
Ndiyo maana moja ya agent wa colonialism in Afrika wapo wamisionari.
Watawala hao walituma watu sehemu mbalimbali kwenda kueneza habari hizo ili kukamilisha misheni hizo.
Na kwa kuwa jamaa wale walikuja na vimisaada vya kujenga mashule,hospitali na mengineyo jamii zilijikuta zikikubali tu kwa sababu ya hali mbaya za kimaisha.
Mungu ni character tu ndani ya vitabu viitwavyo vya Mungu, kama ambavyo Ngoswe alivyo ndani ya kitabu cha Ngoswe-penzi ni kitovu cha uzembe.
Atupe na video ya mungu na shetani tuone action zao kwenye ile vita iliyopigwa huko juu
Mkuu unajua kuwa maelezo yenye kuhusu Mungu pamoja na mafundisho yake hutofautiana,leo hii hapa afrika tu huwa tunasema hizi dini za kuletewa kwa maana huko mwanzoni mababu zetu walikuwa wakiabudu au walikuwa na imani tofauti na sasa ilivyo. Kama labda tungetawaliwa na china huko leo tusingekuwa na tunaabudu huyu Mungu wa kiislamu na ukristo,sasa huu utofauti unaleta shida kusema kuwa kuna jamii moja huko ndio imebuni na kusambaza habari za Mungu na kusambaa dunia nzima.Kitu kuzungumzwa sana na jamii nyingi nje na ndani ya vitabu siyo kigezo cha kitu hicho kuwa kilivyo ama kuwepo.
Mfano suala la dunia kuwa bapa liliandikwa sana enzi za Aristotle hàdi Claudius Ptolemy.
Na bado jamii nyingi ambazo hazijapata walau elimu ya kuanzia primary zinajua dunia ni bapa.
Hata hivyo haifanyi hali hiyo kuwa kama ilivyo.
Habari za Mungu zilibuñiwa toka màshariki ya kati na watawal ili kufanikisha maslahi yao.
Ndiyo maana moja ya agent wa colonialism in Afrika wapo wamisionari.
Watawala hao walituma watu sehemu mbalimbali kwenda kueneza habari hizo ili kukamilisha misheni hizo.
Na kwa kuwa jamaa wale walikuja na vimisaada vya kujenga mashule,hospitali na mengineyo jamii zilijikuta zikikubali tu kwa sababu ya hali mbaya za kimaisha.
Mungu ni character tu ndani ya vitabu viitwavyo vya Mungu, kama ambavyo Ngoswe alivyo ndani ya kitabu cha Ngoswe-penzi ni kitovu cha uzembe.
Hoja yangu ni kwamba hukuelewa kilichokuwa kinaelezwa kwenye hilo andiko,na ndiyo maana hakuna mafundisho yenye kusema jua huwa linazama kwenye matope.Kama sio utani ni serious sasa unataka kukanusha nini???
Unataka kukanusha kua habari hii ipo kwenye kuraan ila haijamaanisha hivyo?? Ukikanusha hivyo utajikuta umeipeleka quraan kwenye utani kuonesha kua mwandishi hakua serious aliandika kiutani tu wala hakumaanisha hivyo, na habari nzima kuhusu jua kuzama matopeni inapaswa kupuuzwa
Kilichoandikwa kwenye kuran kinapaswa kichukuliwe kama kilivyo au tunatakiwa tuchuje tuchukue mazuri yanayoeleweka na mabaya yadiyoeleweka tuyaache??
Hoja yangu ni kwamba hukuelewa kilichokuwa kinaelezwa kwenye hilo andiko,na ndiyo maana hakuna mafundisho yenye kusema jua huwa linazama kwenye matope.
As I said before that, understanding what is science is one basic part among many fundamental parties towards its perfection. If we relay only on what is science and ignore what makes science that could be difficulties to have science as it is today.dont
Mnabishana nini humu mkuu wanguHahaha --kumbe ndio maana kiranga huwa ana jichu kulia points 3 kila nyakati ambayo huwa ana fanya debate na nyinyi. ...
USA ni taifa lenye nguvu kubwa ya kijeshi ---lakini halijawahi kujitangaza kuwa ni wajuzi wa yote -Uwezo wa yote -upendo kwa wote. .....
So kitendo cha kuwa na jeshi kubwa halafu wakashindwa kupiga Korea ---kwa watu wenye akili timamu hakiwezi kuleta taharuki kwao --kwa sababu wanajua licha ya ukubwa wa jeshi la marekani dhidi ya korea jeshi hilo linaweza kushindwa vita kutokana na sababu zozote za kibinaadamu ''na wala haitoleta hoja kuwa jeshi hilo hali kuwa kubwa kwa sababu licha ya ukubwa wao hawajawahi kusema kuwa wao ni wajuzi wa yote -- uwezo wa yote -Upendo wa yote '"
Kitendo cha Mungu ----kusema kuwa ni muweza wa yote halafu bado akamuacha shetani awarubuni watu ambao mungu amewatangazia kuwa ana upendo kwa wote dhidi yao. ....ni kitendo ambacho kina onyesha kuwa Mungu huyo ni mdanganyifu dhidi ya watu wake. .. (hivi unaweza kuwa acha wanao nyumba moja na gaidi halafu una waambia kuwa una upendo kwa wote dhidi yao Hai make sense )....
Na kwa sifa ya mungu inayo elezwa kwenye vitabu inamtaja mungu huyo kuwa ni mkamilifu '''ilhali tukimchanganua tuna muona kuwa ni mungu mdanganyifu '--- Basi tunachalea kusema kwamba Mungu huyo hayupo ''kwa sababu sifa zake Zina jipinga zenyewe
You totally do not understand what I am writing.As I said before that, understanding what is science is one basic part among many fundamental parties towards its perfection. If we relay only on what is science and ignore what makes science that could be difficulties to have science as it is today.
I am not here to protest science or otherwise, because I understand the truth it depicts to issue of how the universe come to exist, God, man existence and afterlife. But I'm trying to convey that science is putting clearly the so called controversial knowledge (God, the universe, man existence and the afterlife) and not that by itself all creature came from.
Because, some now understand what is science and others, on the other hand, are working hard to understand what it is: together we are one group of tropical science. This is good and meaningful stage, which must strive us think what makes so called science? Is what we see, or what we perceive, or what we study, or what is written and understand? Or what is present or otherwise?
To day science made to understand the universe different from the date back BC Christ. This implies that, we understand the universe to that degree as it is today compared to any other time in history not only because we understand what is science, but because we understand what makes science.
Therefore, science, apart from the truth it contains; and the issue of time, still can't be perfection and origin of universe and its all creature.
Kwa hiyo huyo anafananisha nguvu za Mungu na nguvu za USA?Hahaha --kumbe ndio maana kiranga huwa ana jichu kulia points 3 kila nyakati ambayo huwa ana fanya debate na nyinyi. ...
USA ni taifa lenye nguvu kubwa ya kijeshi ---lakini halijawahi kujitangaza kuwa ni wajuzi wa yote -Uwezo wa yote -upendo kwa wote. .....
So kitendo cha kuwa na jeshi kubwa halafu wakashindwa kupiga Korea ---kwa watu wenye akili timamu hakiwezi kuleta taharuki kwao --kwa sababu wanajua licha ya ukubwa wa jeshi la marekani dhidi ya korea jeshi hilo linaweza kushindwa vita kutokana na sababu zozote za kibinaadamu ''na wala haitoleta hoja kuwa jeshi hilo hali kuwa kubwa kwa sababu licha ya ukubwa wao hawajawahi kusema kuwa wao ni wajuzi wa yote -- uwezo wa yote -Upendo wa yote '"
Kitendo cha Mungu ----kusema kuwa ni muweza wa yote halafu bado akamuacha shetani awarubuni watu ambao mungu amewatangazia kuwa ana upendo kwa wote dhidi yao. ....ni kitendo ambacho kina onyesha kuwa Mungu huyo ni mdanganyifu dhidi ya watu wake. .. (hivi unaweza kuwa acha wanao nyumba moja na gaidi halafu una waambia kuwa una upendo kwa wote dhidi yao Hai make sense )....
Na kwa sifa ya mungu inayo elezwa kwenye vitabu inamtaja mungu huyo kuwa ni mkamilifu '''ilhali tukimchanganua tuna muona kuwa ni mungu mdanganyifu '--- Basi tunachalea kusema kwamba Mungu huyo hayupo ''kwa sababu sifa zake Zina jipinga zenyewe
Kwa hiyo huyo anafananisha nguvu za Mungu na nguvu za USA?
As far as I'm concerned, he was just guessing.
No one knows for sure where we come from or how the universe was created.
Mkuu elewa kwamba tatizo sio Qur'an bali ni wewe kushindwa kuelewa ama kupotosha kwa makusudi,katika kilichokuwa kinaelezwa kwenye andiko wewe umechukuwa maneno ya "jua kuzama kwenye matope" na kuja kusema Qur'an inasema hivyo kwa maana Qur'an inawafundishwa waislamu kuwa jua huwa linazama kwenye matope.Pia na mimi hujaelewa hoja yangu
Mafundisho ya Quran yanapaswa kuchukuliwa kama yalivyoandikwa kama ni mambo ya ukweli yasiyokosewa au kunamakosa hivyo tunapaswa kutafiti kila jambo tunalolikuta ili kujihakikishia kua ni ukweli???
Kama Quran haina makosa na kila kilichoandikwa kinapaswa kuchukuliwa kama kilivyo huoni kwamba unaipaka matope quran yako mwenyewe???
Hapa tulikuwa tunazungumzia habari za Mungu (idea ya umoja) ndiyo maana nikasema huyo kaanzishiwa hapo mashariki ya kati.Mkuu unajua kuwa maelezo yenye kuhusu Mungu pamoja na mafundisho yake hutofautiana,leo hii hapa afrika tu huwa tunasema hizi dini za kuletewa kwa maana huko mwanzoni mababu zetu walikuwa wakiabudu au walikuwa na imani tofauti na sasa ilivyo.
Kwa akili hiyohiyo unadhani Mungu Budha ndiye Mungu Allah na ñdiye Mungu Yehova?.Kama labda tungetawaliwa na china huko leo tusingekuwa na tunaabudu huyu Mungu wa kiislamu na ukristo,
Unachanganya mambo.Kuna habari za Mungu mmoja,huyu ndiye aliyebuniwa na kulazimishwa aenee dunia nzima.sasa huu utofauti unaleta shida kusema kuwa kuna jamii moja huko ndio imebuni na kusambaza habari za Mungu na kusambaa dunia nzima.
Hahaha. .imagine mkuu